Deograsius Andrew🇹🇿
@Deodravis
BA in Economics(UDSM) | Economical & Political Analyist| I Nyeupe ni Nyeupe ⚪ Nyeusi ni Nyeusi⚫.|
ⓝⓔⓥⓔⓡ ⓢⓣⓞⓟ ⓣⓗⓘⓝⓚⓘⓝⓖ
ID:859644447679803393
03-05-2017 05:43:02
12,2K Tweets
4,5K Followers
293 Following
Life is all about improvements. No new life that will come tomorrow if you dont improve the life you have today.!
Workhard, Dream high, Keep trying.! Success is made for everyone.! #GoodmorningTanzania #NeverStopThinking
Linapokuja suala la kusikiliza Bunge la Hoja hata Vioja vyake. Kuna uwasilishaji na hotuba mbalimbali kama vipaumbele.!
Kwenye upande wa uchangiaji hoja huwa napenda sana akisimama Mbunge Msukuma. Yeye sio msomi sana ila nyakati zote anazungumza kisomi sana.!
Bunge la Tanzania
Kila unapotegemea kukubaliwa kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa pia.
Jijengee tabia ya kupokea maudhi na kuvunjwa moyo safari ya mafanikio sio ya siku moja.!
Muwe na siku njema.! #NeverStopThinking
What a view.!
Uwanja huu ungejengwa wa kisasa na wa hadhi ya kimataifa ukanakishiwa kisasa basi ungekuwa moja ya viwanja venye muonekano mzuri zaidi nchini. Imagine Afcon 2017 Ingepigwa hapa pakiwa na mwonekano kama wa Benjamin Mkapa.!
TFF TANZANIA Falsafa Baba! Samia Suluhu
Deograsius Andrew🇹🇿 Dr. Hamisi Kigwangalla Dullah_theKing🇹🇿 Enemy of Wickedness 🇸🇴 Kaisari Joselu Mfalme 👑🇹🇿 Shangazi akimeza shoka akiba inaishaa yote
Deograsius Andrew🇹🇿 Dr. Hamisi Kigwangalla Dullah_theKing🇹🇿 Enemy of Wickedness 🇸🇴 🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎™ Kaisari Joselu Mfalme 👑🇹🇿 Kanuni kubwa ya saving ni..
Kuishi chini ya matumizi
Kama unapata mshahara wa let's say 500k
Expenses zako zisiguse 400k ukijumlisha kila kitu...
Apo unatengeneza wigo wa kusave na inawezekana sio hata conspiracy theories
Deograsius Andrew🇹🇿 Umeongea point sana. Mungu akujaalie maisha marefu ili uendelee kutupa elimu km hizi.
Ufafanuzi wa kina sana Dr. Hamisi Kigwangalla safari mlevi mjadala umehitimishwa na kijana makini, KIPEPE 💊 akili kubwa ni hazina kwa taifa.