Eng. Honester Kasilo(@Honester_Kasilo) 's Twitter Profileg
Eng. Honester Kasilo

@Honester_Kasilo

Civil Engineer (GE) | Tanzanian๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ | OHS Officer | Board Member - @TasmiTanzania| #WahandisiWanawake| #UjenziTips

ID:1194638795355959298

calendar_today13-11-2019 15:31:24

60,9K Tweets

21,5K Followers

1,0K Following

Eng. Adelah(@ringia_adelah) 's Twitter Profile Photo

Mathayo : 18 : 19 - Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.

Maombi ya mapatano yana nguvu kuliko kawaida. Try urudi na testimony ya nguvu๐Ÿ™

account_circle
๐‘ช๐‘ท๐‘ด ๐‘ด๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’Š(@CPMMwangi) 's Twitter Profile Photo

NCA typically disqualify a site using this checklist:
1. Lack of signboard or incomplete signboard details
2. Lack of PPEs
3. Lack of hoarding or netting
4. Lack of safety signs
5. Have workers who are not accredited
6. Absence of the contractor or his representative
7. Missing

account_circle
Dr. Norman Jonas(@NormanJonasMD) 's Twitter Profile Photo

Bajeti ya Afya 2024 - 2025

โœ… MOI kuanzisha huduma ya kutumia roboti kwa ajili ya upasuaji.

Robotic Surgery inaenda kuwa reality

๐Ÿ”ฅ

Bajeti ya Afya 2024 - 2025 โœ… MOI kuanzisha huduma ya kutumia roboti kwa ajili ya upasuaji. Robotic Surgery inaenda kuwa reality ๐Ÿ”ฅ #BajetiAfya2024
account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

'Unachofikiria juu yako mwenyewe ni muhimu zaidi kuliko vile wengine wanafikiria juu yako.' ~ Afande Mwahaja.

Tukawe na week njema..

'Unachofikiria juu yako mwenyewe ni muhimu zaidi kuliko vile wengine wanafikiria juu yako.' ~ Afande Mwahaja. Tukawe na week njema.. #MrUnknownCode
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: โ€œMuda una thamani zaidi kuliko pesa, Unaweza kupata pesa zaidi, lakini huwezi kupata muda zaidi.โ€ - Jim Rohn

NUKUU YA LEO: โ€œMuda una thamani zaidi kuliko pesa, Unaweza kupata pesa zaidi, lakini huwezi kupata muda zaidi.โ€ - Jim Rohn
account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji.' ~Togolani Mavura.

'Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji.' ~Togolani Mavura.
account_circle
Eng. Honester Kasilo(@Honester_Kasilo) 's Twitter Profile Photo

2019 nilikua natoka Shinyanga naelekea Dar kwa kutumia Ally's.
Tulipofika Dodoma, tukapumzika kwa ajili ya chakula.

Tulivyorudi nikaingia gari nyingine iliyokua inarudi Shinyanga.

Wee, nilihisi kuchanganyikiwa. Ikabidi tushuke (na Rafiki angu) kuanza kukimbiza gari Hadi 8-8.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Happy Motherโ€™s day to the amazing mothers out there.
Thank you for all the sacrifices you made for us, upendo, nidhamu na mafunzo vimetujenga mpaka leo.
Pia kwa wamama mmetufanya tuitwe Baba tunashukuru kwa kutulea sisi watoto wakubwa na hawa wadogo.
You are doing a good job โค๏ธ

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Tunakushukuru kwa upendo usiokoma, na kwa kila tabasamu linaloendelea kutupa nguvu ya kusonga mbele!

Heri ya Siku ya MAMA Duniani!

Nani kama mama?

| .

Tunakushukuru kwa upendo usiokoma, na kwa kila tabasamu linaloendelea kutupa nguvu ya kusonga mbele! Heri ya Siku ya MAMA Duniani! Nani kama mama? #MothersDay | #ElimikaWikiendi.
account_circle
Sally Brown๐ŸŒท(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

digitalawards.co.tz

Naomba tuendelee kumpgia Dada yetu Jokate kura aweze kushinda ๐Ÿค

โ‡๏ธHapa utashuka hadi Namba 4 (D) INFLUENCER OF THE YEAR - Utabonyeza jina la *JOKATE MWEGELO*

โ‡๏ธ Kisha utaenda hadi No 10: BEST PEOPLES CHOICE - Utabonyeza jina la *JOKATE MWEGELO*

digitalawards.co.tz Naomba tuendelee kumpgia Dada yetu Jokate kura aweze kushinda ๐Ÿค โ‡๏ธHapa utashuka hadi Namba 4 (D) INFLUENCER OF THE YEAR - Utabonyeza jina la *JOKATE MWEGELO* โ‡๏ธ Kisha utaenda hadi No 10: BEST PEOPLES CHOICE - Utabonyeza jina la *JOKATE MWEGELO*
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Je, Wajua?

Mkate wa maparachichi ndio mkate mtamu zaidi duniani ukiwa na mchango chanya kwenye mwili wa binadamu.

Mkate parachichi hutegenezwa kwa kuchanganya na Mayai, unashauriwa kuwa makini unapokula mkate huu maana unaweza jing'ata ulimi kwa utamu wake

Je, Wajua? Mkate wa maparachichi ndio mkate mtamu zaidi duniani ukiwa na mchango chanya kwenye mwili wa binadamu. Mkate parachichi hutegenezwa kwa kuchanganya na Mayai, unashauriwa kuwa makini unapokula mkate huu maana unaweza jing'ata ulimi kwa utamu wake #ElimikaWikiendi
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Kutana na mwana mama Maria Felipa de Oliveira, Mwanamke Mweusi Aliyewasaidia Wabrazili Kupata Uhuru. Alikuwa mmoja wa wanawake 3 walioshiriki katika harakati za kupigania uhuru wa Bahia nchini Brazili mnamo mwaka 1823.

Kutana na mwana mama Maria Felipa de Oliveira, Mwanamke Mweusi Aliyewasaidia Wabrazili Kupata Uhuru. Alikuwa mmoja wa wanawake 3 walioshiriki katika harakati za kupigania uhuru wa Bahia nchini Brazili mnamo mwaka 1823. #ElimikaWikiendi
account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Kila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa.' ~Togolani Mavura.

'Kila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa.' ~Togolani Mavura.
account_circle
James Massawe(@massawejk) 's Twitter Profile Photo

Haijalishi ni hatua ndogo kiasi gani umeanza nazo, cha msingi unaelekea mbele. Mbele ni mbele, kuna siku utafika tu!

Usipoteze muelekeo hata siku moja, wewe endelea kusonga mbele.

account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Usikubali kukaa kinyonge.
Umekwama pesa ya kuendesha biashara jichukulie mkopo wa haraka kutoka Soft Finance Mkopo wao ni wa uhakika na uzuri unapokopa hupotezi kitu kwani wanakupa hadi somo la uwekezaji.

Usipoteze muda Wacheki sasa ufurahie huduma zao

Usikubali kukaa kinyonge. Umekwama pesa ya kuendesha biashara jichukulie mkopo wa haraka kutoka @softfinancetz Mkopo wao ni wa uhakika na uzuri unapokopa #SoftFinance hupotezi kitu kwani wanakupa hadi somo la uwekezaji. Usipoteze muda Wacheki sasa ufurahie huduma zao #MpangoPesa
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa tafiti inaelezwa kuwa paka wanatabia ya kuwinda na kuleta wanyama waliokufa nyumbani ili binadamu tuwatumie kama kitoweo hii ni kwasababu paka wanafikiri binadamu sio wawindaji wazuri hivyo hatuwezi kuishi pekeyetu hapa duniani kwa kujitegemea

Kwa mujibu wa tafiti inaelezwa kuwa paka wanatabia ya kuwinda na kuleta wanyama waliokufa nyumbani ili binadamu tuwatumie kama kitoweo hii ni kwasababu paka wanafikiri binadamu sio wawindaji wazuri hivyo hatuwezi kuishi pekeyetu hapa duniani kwa kujitegemea #ElimikaWikiendi
account_circle