Inashauriwa kuchagua rangi nyeupe unaponunua gari kwa sababu rangi hiyo huonekana kiurahisi hasa kwenue mvua na ukungu #ElimikaWikiendi
Kusikiliza muziki kuna ushawishi mkubwa kwenye ubongo hukusaidia kubadili unavyofikiri na jinsi unavyoutazama ulimwengu kwa ubaya
#AfyaYaAkili #ElimikaWikiendi
Mtemi Rumanyika wa Ufalme wa Karagwe
Alikuwa na Nguvu za kuamuru Mvua Inyeshe, Alizaliwa na mbegu mkononi ambazo zilitoa tafsiri ya utawala wake utakuwa wa Neema. #ElimikaWikiendi
Kula ndizi ni msaada wa asili wa kupunguza athari za mkazo (msongo wa mawazo) na wasiwasi.
#AfyaYaAkili #ElimikaWikiendi
Ubongo wako hufanyia maamuzi sekunde chache kabla ya kutambua unafanya uamuzi.
#AfyaYaAkili #ElimikaWikiendi
Mjadala Uandishi wa Habari na Maendeleo.
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari jijini Dodoma.
@Unescodar @UnitednationsTz @WPFD_Tz Union of Tanzania Press Clubs
#WPFD2024 | #ElimikaWikiendi
Mabadiliko ya tabia nchi
▪︎ Chanzo
▪︎ Athari
▪︎ Suluhisho
Na sylviabay kijangwa ndani ya #ElimikaWikiendi