BIZNESS(@Izzo_bizness) 's Twitter Profileg
BIZNESS

@Izzo_bizness

Recording Artist | Songwriter| Actor | Bizness All Day(B.A.D)| Izzo Bizness Brands| Hustler πŸ’ͺ🏿

ID:325389487

linkhttps://www.boomplay.com/share/album/82197713 calendar_today28-06-2011 06:31:31

30,2K Tweets

127,5K Followers

604 Following

ANKO CHOKA(@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

NJOO TUKUFULIE NGUO ZAKO HAPA instagram.com/emmaprolydrycl… 🧼🫧

Tunapatikana SINZA MORI nyuma ya WANYAMA HOTEL barabara ya INTERPOL mtaa wa TWIGA (Twiga Street) nyumba namba 12.

Call/WhatsApp: 0658 164282

PLEASE RE-X

Carol Ndosi millardayo #NIPENI_MAUA_YANGUπŸ’ BIZNESS Deo HUGO

account_circle
BIZNESS(@Izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Tatizo La Mbio Za Panya Hata Kama Ukishinda Bado Unabaki Kuwa Panya πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦ Hii Kali Sana Jigga La Muheza Falsafa Baba! πŸ™ŒπŸΎ

account_circle
BIZNESS(@Izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Mbaya Zaidi Wanampa Promo Ila Kwenye Show Unampoteza. Ngosha Aliimba Hii Lini Kwa Huzuni Ya Hali Ya Juu Mno πŸ’ͺπŸΏπŸŽΆπŸ˜‚

account_circle
BIZNESS(@Izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Cha Kushangaza Zaidi Kwenye Maisha Yetu Haya Unakuta Watu Ambao Unaamini Ndiyo Watu Wako Wa Karibu Ndiyo Wanaopambana Kuhakikisha Anguko Lako Linafanikiwa…

account_circle
BIZNESS(@Izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Sema Sumu Amezitema Salama Kama Ndiyo Angekuwa Kazitema Artist Flani Mkongwe Na Hajasikika Kwa Muda Mpaka Sasa Angekuwa Anashambuliwa Kuwa Jamaa Ana Msongo Wa Mawazo.

account_circle
360connects(@360connects) 's Twitter Profile Photo

We're thrilled to announce the launch of 360 Connects Twitter!

Follow us for insights, tips, and updates on empowering agribusiness and finance in Tanzania. Let's connect and grow together! 🌱

We're thrilled to announce the launch of 360 Connects Twitter! Follow us for insights, tips, and updates on empowering agribusiness and finance in Tanzania. Let's connect and grow together! 🌱 #360Connects #Agribusiness #Finance #Tanzania
account_circle
BIZNESS(@Izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Kuwa Hatua Moja Ama Zaidi Dhidi Ya Mwenzio Si Kwamba Wewe Ndiyo Umeshayapatia Mazima. Huu Mchezo Wa Maisha Hauna Mtaalam Zaidi Ya MUNGU Ambaye Anaamua Leo iwe Zamu Yako Kesho Kwa Mwingine.

account_circle