Jamii Forums
@JamiiForums
The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen Journalism
ID:49632982
http://t.me/JamiiForums 22-06-2009 13:50:07
64,0K Tweets
1,7M Followers
326 Following
Mdau ni Wimbo gani unaukumbuka kutoka kwa Malkia huyu wa Taarab?
Mjadala zaidi jamii.app/BiKidudeTaraabu
#JamiiForums #Entertainment
Mdau, unahitaji Mashine ya Kufua Nguo? Kutana na ubunifu wa huyu Dobi. Vipi unaleta Nguo tufue?😂😂
#JamiiForums #JFChitChats
HAKI ZA KIDIGITALI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema hadi sasa zaidi ya Taasisi 300 zinazojihusisha na Ukusanyaji na Uchakataji wa #TaarifaBinafsi ziko katika hatua mbalimbali za Kujisajili katika Mfumo wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa
DODOMA: Mbunge wa Viti Maalum, Agnes Mathew Marwa akichangia hoja Bungeni kuhusu Wizara ya Mambo ya Ndani, ametoa wito kwa Serikali kuboresha maslahi ya Watumishi wa Vyombo vya Usalama
Soma jamii.app/HaliNgumuJeshi…
#JFUwajibikaji #Governance #UlinziNaUsalama #JamiiForums