Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profileg
Lukiza Autism Foundation

@LukizaAutismFdn

Organizers of Run 4 Autism Tanzania Half Marathon. Improving the quality of life of individuals on the Autism Spectrum Disorder and their families in Tanzania.

ID:1233842660319932416

linkhttp://www.lukizaautismfoundation.org calendar_today29-02-2020 19:54:24

936 Tweets

800 Followers

412 Following

Follow People
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

ALIAHIDI, ANATEKELEZA.
Karibuni kesho Jumamosi 04 April saa 12 asubuhi Coco Beach, kujumuika na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa Ummy Mwalimu, MP katika kuzindua siku ya Jumamosi kama siku ya mazoezi ikiwa ni harakati za kukabiliana na Magonjwa yasiyoambukiza Lukiza Autism Foundation Hilda Nkabe

account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za 2024 akiongoza mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.

Cc: @hildankabe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za #run4autismtanzania2024 akiongoza mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay. Cc: @hildankabe #run4autismtanzania
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Mbio za usonji za Run 4 Autism Tanzania hazibagui: Jamaa ametupia shuka lake la Kimasai akikata upepo ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ

Mbio za usonji za Run 4 Autism Tanzania hazibagui: Jamaa ametupia shuka lake la Kimasai akikata upepo ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ #run4autismtanzania2024
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mbio za Usonji za Run 4 Autism Tanzania Half Marathon, zilizofanyika tarehe 28/04/2024 katika viwanja vya farasi jijini Dar es Salaam Tanzania.

'Tumepata certificate'

Baadhi ya wakimbiaji kwenye mbio za 2024 wakiwa na vyeti vyao baada kumaliza kukimbia mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.

'Tumepata certificate' Baadhi ya wakimbiaji kwenye mbio za #run4autismtanzania2024 wakiwa na vyeti vyao baada kumaliza kukimbia mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay. #run4autismtanzania
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa kushiriki kama mgeni rasmi katika mbio za Usonji za Run 4 Autism Tanzania Half Marathon tarehe 28/04 viwanja vya farasi- Dar
Kassim Majaliwa Majaliwa Ofisi ya Waziri Mkuu Ummy Mwalimu, MP Hilda Nkabe

Asante sana Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa kushiriki kama mgeni rasmi katika mbio za Usonji za Run 4 Autism Tanzania Half Marathon tarehe 28/04 viwanja vya farasi- Dar @KassimMajaliwa_ @TZWaziriMkuu @ummymwalimu @HNkabe #run4autismtanzania2024 #usonji
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Mhe. Ummy mwalimu Ummy Mwalimu, MP kwa kutenga muda wako wewe na Mhe Waziri Mkuu, kushiriki matembezi haya. Lakini pia shukrani sana kwa kufanya kazi kwa ukaribu na Lukiza Autism Foundation katika harakati za kuwatengenezea mazingira sahihi ya kustawi watu wenye Usonji.
Hilda Nkabe

account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za akiwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa @lukiza_autismtanzania, @HildaNkabe

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za #run4autismtanzania2024 akiwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa @lukiza_autismtanzania, @HildaNkabe
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za akiwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, MP pambeni yake akiwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa @lukiza_autismtanzania, @HildaNkabe

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za #run4autismtanzania2024 akiwa na Waziri wa Afya, @ummymwalimu pambeni yake akiwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa @lukiza_autismtanzania, @HildaNkabe
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Msimu mwingine 2024 umetukutanisha hapa kwenye viwanja vya Green Ground Oysterbay. Ni mwendo wa kukata upepo, vinara wote mwishoni mwa mbio kutunukiwa medali zao.

Msimu mwingine #run4autismtanzania2024 umetukutanisha hapa kwenye viwanja vya Green Ground Oysterbay. Ni mwendo wa kukata upepo, vinara wote mwishoni mwa mbio kutunukiwa medali zao. #run4autismtanzania
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

RUNNING KIT COLLECTION/KUCHUKUA VIFAA VYA KUKIMBILIA.
Run 4 Autism Tanzania Half Marathon 2024.
Mlimani City Mall-KFC Entrace Dar es Salaam.
Thursday 25th - Saturday 27th.
09:00hrs to 22:00hrs.
Alhamisi 25/04/2024-Jumamosi 27/04.
Hilda Nkabe Lukiza Autism Foundation

RUNNING KIT COLLECTION/KUCHUKUA VIFAA VYA KUKIMBILIA. Run 4 Autism Tanzania Half Marathon 2024. Mlimani City Mall-KFC Entrace Dar es Salaam. Thursday 25th - Saturday 27th. 09:00hrs to 22:00hrs. Alhamisi 25/04/2024-Jumamosi 27/04. @HNkabe @LukizaAutismFdn #run4autismtanzania2024
account_circle