Rashid Abdalla(@RashidAbdalla) 's Twitter Profileg
Rashid Abdalla

@RashidAbdalla

TV Presenter |Translator| Motivational Speaker| Station Voice| Journalist| #SisemiKitu Subscribe to my YouTube Channel- https://t.co/SjByWPsqc7

ID:317100699

calendar_today14-06-2011 12:51:31

19,2K Tweets

56,6K Followers

1,6K Following

Follow People
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Makanisa: 'Rais, usisalie kimya'

Makanisa yamtaka rais kukatiza kimya chake

Wanamtaka kuingilia kati na kutoa suluhu ya mgomo

Mgomo wa wahudumu wa afya umeingia siku ya 24

Viongozi wanahofia maafa kufuatia mgomo wa madaktari

Lulu Hassan Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Ukitaka kusaidiwa na jamii na wewe ndio kiongozi kule mbele, inamaanisha haujui kiwango cha ushawishi ulionao ama hauna ushawishi wowote Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Ninaongea lugha ya yule mwananchi ambaye hana sauti kwa sababu ilitakikana kusemwa na viongozi walio juu Rashid Abdalla

account_circle
Joash M'masi(@joash_mmasi) 's Twitter Profile Photo

Citizen TV Kenya Rashid Abdalla I'm from Trans Nzoia county and i trust in his leadership.

Empowerment defines the administration of his excellency Governor George Natembeya.

account_circle
Wanjala.(@Masika_Isac) 's Twitter Profile Photo

Citizen TV Kenya Rashid Abdalla Huyu ndie kiongozi wangu....his message is clear and he is speaking what we feel those already elected right from an MCA, MP, Women Rep,Senator, Governor, and the top national leadership is not doing....they have mutated leadership into a coning scheme to further on corruption.

account_circle
HouseBoi(@IssaMabatis) 's Twitter Profile Photo

Citizen TV Kenya Rashid Abdalla That guy is very smart,, He understands the whole system on how do deal with security menace especially cattle rustling.We shd put politics aside and collectively fight this vice.#Natembeya#Tawe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Kuna dhana ya kwamba ukiwa na kiti cha urais, kuna mambo yanakuja kwako kwa wingi na wengine wanafinyika Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Kila kitu ambacho unafanya Kenya kinatafsiriwa kuwa katika msingi wa kisiasa, hata jambo lisilo na hatia kama kukataa ukabila na upendeleo katika uteuzi Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Mambo yaliyotokea katika mazishi hayakuwa ya busara kwa sababu marehemu alikuwa mfanyikazi wa kaunti katika hospitali aliyeaga akitoka kazini. Tulifanya mipango ya mazishi ikawa siku ya Ijumaa. Nilipata ujumbe siku ya Alhamisi kunionya…

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Sina tatizo binafsi na Spika wa Bunge ilhali ni mtazamo wetu kuhusu mipango ya jamii ya Waluhya. Spika amepewa nafasi ya karibu miaka thelathini lakini bado jamii ya Waluhya imegawanyika Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

George Natembeya – Gavana, Trans Nzoia: Maana ya TAWE ni kukataa. Tunakataa siasa ya kuabudu mtu. Ile mchakato tumeweka sasa hivi ni wa kuhamasisha wanaanchi Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mgomo hospitali za umma:

Maafisa kliniki nchini wameanza mgomo wao hii leo.

Mgomo wa madaktari umeendelea kwa siku ya 19 leo.

Wagonjwa wachache wameonekana baadhi ya hospitali

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Muhogo wa sumu Nyamira:

Mtoto mmoja amefariki baada ya kula muhogo eneo hili.

Jamaa wengine 5 wa familia moja wamelazwa hospitali.

Mama na wanawe 5 walisemekana kula muhogo Jumamosi

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mwanafunzi azikwa Makueni:

Michael Muteti alifariki kwenye ajali ya barabarani.

Alikuwa kati ya wanafunzi wa ku waliofariki Maungu

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mashindano ya kwaya:

Yameandaliwa kwa kuadhimisha sherehe za Pasaka.

Yamejumuisha ushindani wa makundi 36 Luanda.

Kwaya la kanisa la St John's ACK Emanaka lashinda

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Hofu ya mazao Trans- Nzoia:

Viongozi wana wasiwasi kuhusu kiwango cha mazao.

Mbolea ghushi zimeendelea kulaumiwa kwa hatari.

Wanasema msimu wa upanzi unakaribia kuisha sasa

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Hofu ya mbolea ghushi:

Hisia zimeendelea kutolewa kuhusu uwepo wake.

Wito watolewa kwa waziri Mithika Linturi kujiuzulu.

Serikali yatakiwa kukaza kamba kuzuia kusambaa kwake

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Al Shabaab Wauwa 6 Dobley:

Watu 6 raia wa Kenya wauwawa mjini Dobley Somalia

Magaidi wa Al Shabaab wanadaiwa kuwamiminia risasi

Watu hao walivuka mpaka kufungua maduka yao

Wanne wafariki papo hapo huku 2 wakifa hospitalini

Rashid Abdalla

account_circle