Dorothy Semu
@SemuDorothy
Party Leader, 2024- @ACTWazalendo Vice Chairperson-Mainland 2020-2024
Shadow Prime Minister 2022- 2024@ACTBarazaKivuli
Believer of a Prosperous Tanzania
ID:372748361
http://www.actwazalendo.or.tz 13-09-2011 10:35:38
26,8K Tweets
11,8K Followers
3,1K Following
'ACTWazalendo tunaitaka Serikali kuanzisha utaratibu endelevu wa wananchi kunufaika na ardhi ya uwekezaji iliyotwaliwa kwa kupewa sehemu ya umiliki wa mradi (Land for Equity).'
Waziri Kivuli wa Ardhi
Emmanuel L. Mvula
Wasemaji wa Kisekta
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Katika kuadhimisha Siku ya Hedhi Salama, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake, Ndg Janeth Rithe akiambatana na viongozi wenzake, wamegawa taulo za kike kwa Wanawake na Wasichana huko Kiwangwa Pwani. Aidha Ndg Janeth ameitaka Serikali kuondosha kodi kwenye taulo za kike.
ACTWazalendo
Katika kuadhimisha Siku ya Hedhi Salama, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake, Ndg Janeth Rithe akiambatana na viongozi wenzake, wamegawa taulo za kike kwa Wanawake na Wasichana huko Kiwangwa Pwani. Aidha Ndg Janeth ameitaka Serikali kuondosha kodi kwenye taulo za kike.
ACTWazalendo
'Ili kumsaidia mwanamke apate taulo za kujistiri kwa wepesi, tunaitaka Serikali iondoshe kodi kwenye taulo za kike.'
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa
Janeth Rithe
ACTWazalendo
#HedhiSalama
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
'ACTWazalendo tunaitaka Serikali kuanzisha utaratibu endelevu wa wananchi kunufaika na ardhi ya uwekezaji iliyotwaliwa kwa kupewa sehemu ya umiliki wa mradi (Land for Equity).'
Waziri Kivuli wa Ardhi
Emmanuel L. Mvula
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
'Ili kumsaidia mwanamke apate taulo za kujistiri kwa wepesi, tunaitaka Serikali iondoshe kodi kwenye taulo za kike.'
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa
Janeth Rithe
ACTWazalendo
#HedhiSalama
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
(๐๐ฆ๐๐๐ง๐๐ข๐ค๐ฐ๐ ๐๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐๐๐ญ๐ฎ, ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐)
MWENYEKITI wa Chama cha ACT- Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka viongozi na wanachama kuwaelimisha wananchi ili waunge mkono harakati za chama hicho zinazolenga dhamira ya kuleta mabadiliko
'Idadi ya Vijana wanaojitokeza kwenye kushiriki uchaguzi haidhirishi; hii ni kutokana na kukosekana kwa mazingira rafiki ya kisiasa.'
Waziri Kivuli wa Vijana
Ndolezi
ACTWazalendo
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#Mdahalo
The party leader of ACTWazalendo Ms. Dorothy Semu reflects on day one of the #Tanzania ๐น๐ฟDemocracy Forum 2024! 'We had an opportunity to review our political landscape, and emphasised the crucial role of civil society in #democracy for a brighter democratic future for Tanzania.'
๐Tanga
'Ili tuwe salama tunahitaji wanawake majasiri waingie katika vyombo vya maamuzi waweze kupambana kwa ajili ya maslahi ya Taifa.'
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa
Janeth Rithe
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
We celebrated Africa day! We ACTWazalendo are following the footsteps of the heroines in African Liberation.โ
#AfricanLiberationDay
'TAMISEMI hawana mamlaka ya kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa; na Waziri wa OFISI YA RAIS TAMISEMI hana mamlaka kutunga kanuni. Vijana mpambane bunge litunge sheria ya kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.'
KC Mstaafu wa ACTWazalendo
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
'Mazingira ya kiuchaguzi sio rafiki ndio maana vijana wengi hawajitokezi kushiriki kwenye uchaguzi. Kwa tume iliyoko, vijana hawaamini kama wakishinda watatangazwa.'
Waziri Kivuli wa Bunge, Vijana, Kazi na Ajira
Ndolezi
ACTWazalendo
#TaifaLaWote #MaslahiyaWote
Ndolezi 'Katika fursa ambayo vijana tunatakiwa kuitumia kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa, ni ulinzi na usalama wa nchi yetu. Polisi si maadui zetu; hawa ni watu wanaosimamia usalama wetu na mali zetu.'
Kijana wa CCM
Suphian Juma Nkuwi
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#Mdahalo
Washiriki mbalimbali wakichangia mada kwenye mdahalo unaoendelea hapa kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema Makao Makuu ya ACTWazalendo Magomeni Dar es salaam.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#Mdahalo
'Ushiriki wangu wa kwanza katika uchaguzi ni kumkomboa kijana mwenzangu kifikra. Ushiriki wangu wa pili ni kumchagua kiongozi bora. Hakuna kususa! Mimi mwanajeshi. Katika hali yoyote, napaswa kutengeneza mazingira ya kushinda.'
Mwenyiti wa ACTWazalendo Tawi la UDSM
Jafari
'Mazingira yetu ya kisiasa ni magumu mno. Vijana tusimame kwa sauti moja. Tupambane tupate baraza litakalotuunganisha sote. Baraza letu likisimama, viongozi wetu kutoka kwenye vyama vyetu wanaotaka kututawala, watatuhofia.'
Mwenyekiti wa BAVICHA Ilala
Dedan Chacha Wangwe
#TaifaLaWote
UZI
Matukio na Picha za MDAHALO WA VIJANA ULIONDALIWA NA Ngome ya vijana_Official wa ACTWazalendo.
Picha ya kushoto. Kijana wa kutoka UVCCM, Suphian Juma Nkuwi akisalimiana na Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo.
Picha ya kulia
Meya Mstaafu wa Ubungo, Mheshimiwa Boniface Jacob akiwa tayari