Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
@zittokabwe
Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ID:119385045
http://www.actwazalendo.or.tz 03-03-2010 13:48:48
158,7K Tweets
1,7M Followers
4,9K Following
'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'
Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote

ACTWazalendo Jimbo la Buyungu Mkoani Kigoma tunaendelea kusambaza upendo wa zambarau. Wasemaji wa Kisekta Dorothy Semu Othman Masoud Othman Isihaka Mchinjita Ismail Jussa Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Dotto Rangimoto Ashura Juma Ado Shaibu ni katika Kijiji cha Kabare kata ya Gwarama Wilaya ya Kakonko
Bila Afya njema huwezi kufanya kazi ni muhimu sana kuwahakikishia Watanzania Uhakika wa matibabu na usalama wa Afya zao. Sikiliza Sauti ya ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Afya Dr Elizabeth Sanga
'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'
Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'
Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Mheshimiwa Balozi Togolani Mavura hongera sana kwa kuwatembelea wabia wetu katika sekta ya madini. Ziara yako hii inatia hamasa katika Diplomasia ya Uchumi. Wizara ya madini Wizara ya Madini tunapongeza jitihada hizi. #MadiniYetu #TanzaniaMining #Graphite Nehemiah Mchechu
Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wajiuzulu ili mchakato wa kupata Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi uanze. #TumeJiuzulu kwa sababu sheria mpya inataka Wajumbe wa Tume Ya Uchaguzi wapatikane kwa watanzania kuomba, kufanyiwa usaili na Rais kupelekewa majina ya kuteua. Makamishna wa Tume
'Ili kumaliza uhaba wa dawa, vifaa na vifaa tiba Serikali iwezeshe Bohari ya Dawa (MSD) kwa kuiongozea bajeti angalau Shilingi bilioni 565.'
Waziri wa Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga
ACTWazalendo
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
New book alert : Cha Kale ni Dhahabu by Mzee Yusuf Makamba - published by Mkuki na Nyota is now ready!! Pure gold!!