TangaYetu
@TangaYetu
A Fondation Botnar initiative that works in partnership with children and youth in Tanga city to improve their health and wellbeing.
ID:1110862388813840385
27-03-2019 11:13:27
300 Tweets
742 Followers
235 Following
π Meet Nikita - A youth for safer cities! She's part of My Safetipinβs Cities for Youth, collecting safety data to develop city tools to shape policies in Rajasthan. ππ‘
In our #ImpactGeneration video, Nikita shares impact of the work. Start Up
youtu.be/65oiLK7exjs
Elimu ya Kilimo Cha Matango Bahari ambao kwa kilo Moja wanauzwa 180,000/= Sasa yanaendelea katika Mafunzo ya Fursa za Uvuvi zipatikanazo katika Sekta ya Uvuvi.
Fuatilia Mafunzo haya Live kupitia TK FM radio 88.5 Sasa usipitwe na Elimu hii ya Ujasiriamali.
#TangaYetu
Wanawake pia hawakuachwa nyuma kwenye Mafunzo haya ya Fursa Zipatikanazo katika Sekta ya Uvuvi Tanga pata nafasi ya kusikiliza live Mafunzo haya kupitia TK FM radio Sasa.
#tangayetundiohiisasa
Hizi ndio Mada ambazo mpaka Sasa zimetolewa kwa Vijana kuhusu Fursa Zipatikanazo katika Sekta ya Uvuvi
1. Aina ya samaki
2. Aina ya Uvuvi
3. Masoko na Biashara ya bidhaa za Uvuvi
4. Kilimo Cha Mwani .
Fuatilia Mafunzo haya Live kupitia TK FM 88.5
#tangaYetu
Vijana Jijini Tanga wamepata Mafunzo ya Fursa Zipatikanazo katika Sekta ya Uvuvi ikiwemo Elimu ya masoko, mtaji, aina ya mazao ya Uvuvi pamoja na Namna ya kuongeza thamani bidhaa za Uvuvi.
Unaweza kufuatilia Mafunzo haya kupitia TK FM radio 88.5 Sasa.
#tangaYetu .
TangaYetu was honored to receive an official visit from the Deputy Minister of Livestock and Fisheries, Honorable Hon. Abdallah Ulega who was recently appointed as the minister of this ministry.
#TangaYetu
Fondation Botnar ESRF
Happy #InternationalWomensDay ! Let's celebrate women around the world driving gender equality through #innovation & #technology .
π€ Join us in creating an economically #inclusive future for women, youth, and persons with disabilities at π bit.ly/3ZhMWs4 to learn more
The living lab initiative project uses a bottom-up strategy to guarantee that the primary data source has the skills needed to use data for better decision-making.
Find out more about Tanga City Observatory: tanga.cityobservatory.or.tz
Fondation Botnar dLab Tanzania TangaYetu
Aboubakary ni Moja ya Vijana ambao wamenufaika na Mradi wa Data Notation uliopo chini ya Mradi wa #TangaYetu unaofadhiliwa na Foundation Botnar.
Hakika #tangayetundiohiisasa
@tangayetu__ @esrf_tz
Kabla ya kuanza kutembelea miradi, Mh. Abdallah Ulega alikutana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Omary Mgumba na kuelekeza mpango kazi na maendelo ya Miradi ya uvuvi na ufugaji Tanga ikiwemo Miradi inayofadhiliwa na Foundation Botnar ya uvuvi na ufugaji wa Vifaranga. #Tangayetu
Mapema Jana Mh. Abdallah Ulega Naibu Waziri Mifugo Na Uvuvi alipata nafasi ya kufanya ziara kwenye Miradi mbali mbali Jijini Tanga ikiwemo Miradi ya TangaYetu.
@tangayetu__ @esrf_tz
#tangayetundiohiisasa
Changamoto ya ajira ni kubwa sana ndo maana nawapongeza sana Tanga Kwa kuleta miradi ya Elimu ya vitendo kama ufugaji wa Vifaranga vya Kuku na Kilimo itakayosaidia Vijana kujikwamua kiuchumi na kumiliki bishara za kudumu. Mh. Abdallah Ulega Naibu Waziri Mifugo Na Uvuvi. #TangaYetu
#TangaYetu ya Sasa ni tofauti kabisa na Zamani, Ushiriki wa Vijana kwenye miradi ya Ujasiriamali umeongezeka kwa Kasi na matokeo yanaonekana, Vijana wanalima, wanafuga Vifaranga, wanavuna Mwani na kuvua kwa Vifaa vya Kisasa'
Mh. Abdallah Ulega Naibu Waziri Mifugo Na Uvuvi.
'Nimefurahi kuona maendelo ya Mradi wa ufugaji wa Vifaranga kwa vitendo hapa Jijini Tanga uliochukua Vijana 50 na kuwapa Elimu kwa miez 6 kupitia ufadhili wa Foundation Botnar hakika #TangaYetuNdioHiiSasa
Mh. Abdallah Ulega Naibu Waziri Mifugo Na Uvuvi.
'Kilo Moja ya Jongoo Bahari inaenda hadi laki mbili, Kundi hili la kina Mama hapa Mchukuuni wanamiliki zaidi ya Jongoo 900 na kulima mashamba ya Mwani, Sasa tunaanza kuipeleka Tanga katika Uchumi wa Bluu '
Mh. Abdallah Ulega Naibu Waziri Mifugo Na Uvuvi.
#TangaYetu
'Kikundi chetu tupo wanachama 36 kutoka Mchukuuni Tanga, kupitia Foundation Botnar Tuliwezeshwa wavu, mbegu na bomba za chuma. Kwa kushirikiana na MaAfisa uvuvi pia sasa tumetengeneza mashamba ya Mwani na kumiliki majongoo Bahari 900'
Abdallah Mnufaika wa Mradi
#TangaYetu
'Nimefurahi kuona kikundi hiki Cha Wavuvi wa Mwani na Jongoo Bahari hapa Tanga,kutumia vifaa na mbegu mlizopewa na Foundation Botnar kushirikiana na MaAfisa uvuvi Sasa mnamiliki mashamba makubwa ya Mwani na Jongoo Bahari 900.
Mh. Abdallah Ulega
#TangaYetu