VPO Tanzania(@VPOTanzania) 's Twitter Profileg
VPO Tanzania

@VPOTanzania

Official Twitter account of the Office of the Vice-President of Tanzania | Ukurasa wa Twitter wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na Wizara zake

ID:787295527318777856

linkhttp://www.vpo.go.tz calendar_today15-10-2016 14:14:15

140 Tweets

32,4K Followers

16 Following

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Leo nimemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi Bibi Elizabeth Gisa Sumaye aliyefariki tarehe 7 Novemba 2018.

Leo nimemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi Bibi Elizabeth Gisa Sumaye aliyefariki tarehe 7 Novemba 2018.
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nikielezea umuhimu wa taarifa wakati wa Uzinduzi wa Kikosi Kazi cha Kutatua Changamoto za Viumbe Wageni/ Vamizi nchini.

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Ujenzi umefikia asilimia 82.

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Magufuli azindua mradi wa ufugaji wa samaki kwa kutumia mabwawa na vizimba wa kikosi cha 27KJ cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kilichopo katika mwambao wa ziwa Victoria Musoma Mkoani Mara. Mhe. Rais Magufuli anaendelea na ziara yake hapa Mara.

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nikiwasalimu wananchi mara baada ya kufungua kituo cha afya Nanyala ikiwa ni siku ya Pili ya ziara yangu mkoani Songwe .

@umwalimu
Msemaji Mkuu wa Serikali

account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Je wajua kwa wilaya ya kisarawe kila siku zinatoka Fuso 10 zikiwa na gunia 80 kuja mjini Daressalaam kwa matumizi ya majumbani, wilaya moja inatoa gunia 800-1000 kwa siku hizi ni takribani heka 4 zinapotea kwa siku moja

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

“Vijana wanaotafuta kazi, wanaohitaji wafike mnazi mmoja. Kuna za ajira hapa. Tutakuwa na banda maalum la semina kwa vijana wajasiriamali mafunzo ya namna ya kutengeneza mkaa mbadala, namna ya kutafuta masoko pamoja na mikopo vitatolewa”January Makamba

“Vijana wanaotafuta kazi, wanaohitaji #Fursa wafike mnazi mmoja. Kuna #Fursa za ajira hapa. Tutakuwa na banda maalum la semina kwa vijana wajasiriamali mafunzo ya namna ya kutengeneza mkaa mbadala, namna ya kutafuta masoko pamoja na mikopo vitatolewa”@JMakamba #NitunzeNikutunze
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

'Bei za gesi zinashuka kwa kasi, kikwazo ni kiwango unachonunua, zamani vocha ya chini ilikuwa 10,000 lakini siku hizi kuna mpaka 200. Hii imepanua soko. Tunafanya hivi kwa gesi badala ya kununua mtungi mzima, basi utaweza kununua kwa ujazo wa mita' January Makamba

'Bei za gesi zinashuka kwa kasi, kikwazo ni kiwango unachonunua, zamani vocha ya chini ilikuwa 10,000 lakini siku hizi kuna mpaka 200. Hii imepanua soko. Tunafanya hivi kwa gesi badala ya kununua mtungi mzima, basi utaweza kununua kwa ujazo wa mita' @JMakamba #NitunzeNikutunze
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na jitihada za Serikali kusambaza na kuhamasisha kuhusu madhara ya ukataji misitu lakini 90% ya watanzania wanatumia nishati ya mkaa na kuni, huku mkoa wa Dar es salaam peke yake ukitumia 70% ya mkaa wote Tanzania - Waziri January Makamba

Pamoja na jitihada za Serikali kusambaza na kuhamasisha kuhusu madhara ya ukataji misitu lakini 90% ya watanzania wanatumia nishati ya mkaa na kuni, huku mkoa wa Dar es salaam peke yake ukitumia 70% ya mkaa wote Tanzania - Waziri @JMakamba #NitunzeNikutunze
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema haya, 'Tujiulize mimi na wewe tumefanya jitihada zipi hadi sasa kuyalinda na kuyahifadhi mazingira kwa manufaa ya kizazi kijacho'.

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema haya, 'Tujiulize mimi na wewe tumefanya jitihada zipi hadi sasa kuyalinda na kuyahifadhi mazingira kwa manufaa ya kizazi kijacho'. #NitunzeNikutunze
account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu - nawaomba tutumie wiki hii kuchukua hatua kuhifadhi mazingira. Tupaze sauti. Tuwe askari wa zamu kuripoti na kuzuia waharibifu. Kila mtaa na kijiji una[paswa kuwa na] Kamati ya Mazingira. Jiunge au Anzisha Kamati ya Mazingira mtaani/kijijini kwako.

account_circle