#GWIJI๐Ÿ”ด(@athanas_pius) 's Twitter Profileg
#GWIJI๐Ÿ”ด

@athanas_pius

JOKER || @ManUtd ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง |@SimbaSc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ |No flex zone| Telecom Engineer ๐Ÿ“ก|โ€ข | We live everyday & We die once @gwijiStepstz. CEO @AfroJuiceBar. ONLY VIBES๐Ÿ˜€!

ID:2912606343

linkhttps://t.me/Gwijisteps calendar_today09-12-2014 12:31:25

199,9K Tweets

230,9K Followers

10,2K Following

Follow People
Julius Joseph Massabo.(@juliusmassabo) 's Twitter Profile Photo

Nimesikiliza kauli za Tundu Antiphas Lissu ni very unethical vyama vya upinzani tuna wajibu wa kuisimamia na kuikosoa serikali lakini haiwezi kua kwa misingi ya Utanganyika na Uzanzibari au dini wala kabila Utaifa wetu ni muhimu kuliko kitu chochote kiล‚e tukosoane Iล‚a tusibaguane.

account_circle
#GWIJI๐Ÿ”ด(@athanas_pius) 's Twitter Profile Photo

Ifikie Hatua Sasa FIFA na TFF muwe Serious na Adhabu Mnazotoa, Tunawataka Mzitekeleze Hizi Adhabu, Sio Matamko tu Afu Mwisho wa Msimu Wanatuletea Kina Paccome Tena ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช

Ifikie Hatua Sasa FIFA na TFF muwe Serious na Adhabu Mnazotoa, Tunawataka Mzitekeleze Hizi Adhabu, Sio Matamko tu Afu Mwisho wa Msimu Wanatuletea Kina Paccome Tena ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช
account_circle
MIRIAM๐Ÿ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mzee wangu alifariki nikiwa mdogo so maisha yangu yote nimekua nikiwa nawaona wenzangu wana vibe na Baba zao ๐Ÿฅฐ

Hiyo Feeling sitaki kuelezea ๐Ÿ’”sio kwamba Mama yangu hakutosha But kuna Muda Uwepo wa Mzee ni Muhimu sana, Kama iko kwa uwezo wako lea watoto wako na Baba Yao.

account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Location ya kiwese kizuri na Cha mtelezo Leo ni hapa Kinondoni Road ( kabla ya junction ya kwenda salenda) karibu na Stanbic bank

Location ya kiwese kizuri na Cha mtelezo Leo ni hapa Kinondoni Road ( kabla ya junction ya kwenda salenda) karibu na Stanbic bank #EngenKinondoni
account_circle
Adv. Cyrus Rothgold(@LorenzoRothgold) 's Twitter Profile Photo

#GWIJI๐Ÿ”ด Hio inatokeaga unamtambilisha mtu chimbo la kitimoto halafu anakuwa member kuliko wewe. Inakuwa unajitambulisha kupitia yeye ndio usipunjwe.

account_circle