Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profileg
Chama Cha Mapinduzi

@ccm_tanzania

Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9

ID:266127553

linkhttp://www.ccm.or.tz calendar_today14-03-2011 18:18:09

17,4K Tweets

860,6K Followers

9 Following

Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana Kuona namna TBC inavyoendesha shughuli zake. Ametembelea maktaba inayohifadhi historia ya tanazania, harakati za ujenzi wa taifa, na mchango wa Tanzania kwa ukombozi wa Bara la Afrika.…

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amefanya ziara katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Kinana amefanya ziara hiyo Kuona namna TBC inavyoendesha shughuli zake. Ametembelea maktaba inayohifadhi historia ya Tanzania, harakati…

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amefanya ziara katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Kinana amefanya ziara hiyo Kuona namna TBC inavyoendesha shughuli zake. Ametembelea maktaba inayohifadhi historia ya Tanzania, harakati…
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akitizama baadhi ya nyaraka katika maktaba iliyohifadhi nyaraka za kumbukumbu za ukombozi wa Bara la Afrika.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akitizama baadhi ya nyaraka katika maktaba iliyohifadhi nyaraka za kumbukumbu za ukombozi wa Bara la Afrika. #KaziIendelee
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.

Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa…

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam. Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa…
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MRADI ULIOKUWA MGUMU WA SAME - MWANGA RAIS SAMIA AMEUFANYA KUWA BISKUTI NA SASA WANANCHI KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA - WAZIRI AWESO @jumaa_aweso

'Mradi wa Same - Mwanga na Korogwe ni mradi ambao ungetutia sana doa Wizara yetu ya Maji , mradi ambao ungeifedhehesha sana Wizara ya…

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla ameendelea na ziara kwenye vyombo vya habari nchini. Leo amepiga hodi kwenye kituo cha televisheni cha Channel Ten.

CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI - MAKALLA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla aendelea kutoa somo la utawala wa kuheshimu mihimili ya nchi

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI - MAKALLA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa wakipokea ujumbe kutoka kwa watu mbalimbali kupitia simu na…

CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI - MAKALLA Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa wakipokea ujumbe kutoka kwa watu mbalimbali kupitia simu na…
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MWENEZI MAKALLA ABAINISHA UNAFIKI WA LISSU

Ashangazwa na Lissu kuhoji ni nani aliyemualika Rais Samia kwenye Baraza la Wanawake wa CHADEMA angali yeye mwenyewe ndiye Makamu Mwenyekiti wa Chama hiko.

Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. Amos Makalla…

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

' Katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndio awamu pekee ambayo fedha nyingi zimetolewa kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo '

Ndugu. Amos Makalla
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa

🗓️7 Mei, 2024
📍Dar es…

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

' *Chombo chenye haki ya kutoa haki ni mahakama na CCM lazima iwe kinara na kiongozi wa kuheshimu utawala bora* '

Ndugu. Amos Makalla
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa

🗓️7 Mei, 2024
📍Dar es salaam

Ziara ya kutembelea vyombo vya habari.

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa NEC Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla akiwa kwenye studio za UTV Azam Media mwanzoni kwa ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari nchini.

Katibu wa NEC Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla akiwa kwenye studio za UTV Azam Media mwanzoni kwa ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari nchini. #TunaendeleaNaMama #vitendovinasauti
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla atafanya ziara ya awamu ya kwanza kwenye vyombo vya habari Jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei .

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla atafanya ziara ya awamu ya kwanza kwenye vyombo vya habari Jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei . #KaziIendelee
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KINANA: RAIS Samia Suluhu AMEFANYA MAKUBWA ANASTAHILI KUUNGWA MKONO SIO KUBEZA, KUKEJELI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kipindi Cha miaka mitatu hivyo anastahili pongezi na…

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

'Ndugu zangu hawa, wanazunguka sio wana hoja!, wanazunguka na vihoja. Moja likishindikana wanakwenda jingine. CCM na serikali yake na hata Rais Samia hatukatai kukosolewa, sisi sio Malaika, tunakosea, hatukatai kusahihishwa. Lakini kukejeli, kudharau, kupeza hapana.'

Ndg.…

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KINANA: TUKATAE KUCHONGANISHWA KWA HOJA YA UZANZIBARI, TANZANIA BARA.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kukataa uchochezi unaofanywa na CHADEMA kwa hoja za ubaguzi.

Hoja hizo ni pamoja na kutaka kumdhoofisha Rais…

account_circle