Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

' *Chombo chenye haki ya kutoa haki ni mahakama na CCM lazima iwe kinara na kiongozi wa kuheshimu utawala bora* '

Ndugu. Amos Makalla
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa

๐Ÿ—“๏ธ7 Mei, 2024
๐Ÿ“Dar es salaam

Ziara ya kutembelea vyombo vya habari.

โ€ฆ

account_circle
Sikunjema min(@minshehe_s) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Kigamboni ccm ndugu yahya sikunjema shabani katika kutekeleza ilani ya chama Cha mapinduzi CCM wilaya ya Kigamboni kwa kutembealea Shiba ad Shiba kuanzia trh 1 ad 20 July.. Kigamboni Kaa tayari

account_circle
Ahmed Misanga(@AhmedMisanga) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ IKUNGI ,
Ofisi ya CCM WILAYA YA IKUNGI,
Mapokezi ya Viongozi wetu UWT TAIFA Wanachama wote , wakerekewa wote wa CHAMA CHA MAPINDUZI
SAA 2 KALIMI TUKUTAN OFISI YA CCM WILAYA YA IKUNGI

๐Ÿ“ IKUNGI , 
Ofisi ya CCM WILAYA YA IKUNGI, 
Mapokezi ya Viongozi wetu UWT TAIFA Wanachama wote , wakerekewa wote wa CHAMA CHA MAPINDUZI 
SAA 2 KALIMI TUKUTAN OFISI YA CCM WILAYA YA IKUNGI 

#samiasuluhu 
#CCMImara 
#KaziIendelee
account_circle
TupoSalamaNaSamia(@2025SamiaSuluhu) 's Twitter Profile Photo

Tunaomba wananachi wote tuendelee kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi na Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwakuwa ameendelea kufanya kazi kubwa ya kuletea maendeleo kwa watanzania na taifa kwa ujumla'

Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
Katibu Mkuu wa CCM

#TupoSalamaNaSamia
#CCMimara
account_circle
Sophia Mjema(@sophiamjema1) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Oktoba, 2023, ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.

#TunaImaniNaSamia
account_circle
M.A(@MoureenAbel) 's Twitter Profile Photo

Miaka 46 ya CCM, wenyeviti sita.

Demokrasia ya kweli ni pamoja na kutoa nafasi kwa wengine kuongoza, CCM inaonesha mfano kwa vitendo.

Miaka 46 ya CCM, wenyeviti sita.

Demokrasia ya kweli ni pamoja na kutoa nafasi kwa wengine kuongoza, CCM inaonesha mfano kwa vitendo. #CCMImara #MamaYukoKazini
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Nchimbi โ€œMaisha ya Gachuma na mke wake ni tafsiri ya maisha ya Kiongozi wa CCM. Tunaunganishwa na ubinadamu wetu, utu wetu, sio sura, rangi wala mali zetu

account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , kinakupongeza kwa kuaminiwa na kupitishwa na Halmashauri Kuu kuwa katika nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi - Taifa

Habari Zetu(@habari_zetu) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽฅ Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua rasmi Hospitali ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

account_circle
Faraja Esperius(@EsperiusFaraja) 's Twitter Profile Photo

*UVCCM_ TAIFA*
*MACHI 17, 2023*
*MWANZA*

*VIJANA WOTE TUKUTANE MWANZA* KESHO TAREHE 18/03/2023
Tutapata wasaa wa kujifunza ujasiriamali bure, Kutengeneza vitu mbalimbali kama;

โ—‡ Batiki
โ—‡ Vikoi
โ—‡ Sabuni aina zote
โ—‡ Kilimo na ufugaji

* *
*

*#AlipoMamaVijanaTupo*
*#CCMImara
account_circle