Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profileg
Fortunatus Buyobe

@fbuyobe

Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO

ID:1433349078600015873

calendar_today02-09-2021 08:41:30

18,7K Tweets

93,5K Followers

830 Following

Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

I've seen a photo of an unclothed man holding his equally naked wife, who is expectant, doing rounds in these X slums.

As much as it may be right for a man to celebrate the work of his other hand, I found it uncouth for a man to undress, for a camera.

Nothing wrong with a lady

account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Baada ya manunuzi familia ile ikafukuzwa kutoka ndani ya jengo lile pamoja na wapangaji

Kumbuka hii ilimaanisha hata zile milioni 14 kwa mwaka walizikosa

Jengo likavunjwa na kuinuliwa Jengo la ghorofa 8

Jitihada za jiji kuzuia ujenzi ule ziligonga mwamba.

Baada ya manunuzi familia ile ikafukuzwa kutoka ndani ya jengo lile pamoja na wapangaji Kumbuka hii ilimaanisha hata zile milioni 14 kwa mwaka walizikosa Jengo likavunjwa na kuinuliwa Jengo la ghorofa 8 Jitihada za jiji kuzuia ujenzi ule ziligonga mwamba.
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

TATU akashindwa kumlipa Musa kwa mujibu wa hukumu

Badala yake akakatia rufaa uamuzi ule.

Kwenye baraza la rufaa la Ardhi na makazi akaangua pua

Mahakama kuu akaangikia pua

Mahakama ya rufaa akaangukia pua

Wakati huo Musa kwa upande mwingine akiendelea kutafuta kukazia hukumu

TATU akashindwa kumlipa Musa kwa mujibu wa hukumu Badala yake akakatia rufaa uamuzi ule. Kwenye baraza la rufaa la Ardhi na makazi akaangua pua Mahakama kuu akaangikia pua Mahakama ya rufaa akaangukia pua Wakati huo Musa kwa upande mwingine akiendelea kutafuta kukazia hukumu
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Yaani kwanza amlipe Musa pesa ya kodi aliyopokea (mil 1.8) pamoja na riba yake (kwa rate ya mahakama)

Kisha alipe Tshs laki 9 kila mwezi tangu siku shauri lilipoamuriwa (May 1999) mpaka itakapotimia pesa yote milioni 15

Pia ampe musa Chumba kingine kwa miaka mitatu.

Yaani kwanza amlipe Musa pesa ya kodi aliyopokea (mil 1.8) pamoja na riba yake (kwa rate ya mahakama) Kisha alipe Tshs laki 9 kila mwezi tangu siku shauri lilipoamuriwa (May 1999) mpaka itakapotimia pesa yote milioni 15 Pia ampe musa Chumba kingine kwa miaka mitatu.
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

KAGAME has also reorganized his military, retiring several top generals. Can't just be paranoia.
Something must've been cooking.

This coup d'etat fire is spreading fast. Maybe it will reach that country of shareholders.

In 1966, when Mobutu was only a year old in power, he

KAGAME has also reorganized his military, retiring several top generals. Can't just be paranoia. Something must've been cooking. This coup d'etat fire is spreading fast. Maybe it will reach that country of shareholders. In 1966, when Mobutu was only a year old in power, he
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Huu mgogoro wa ardhi Kariakoo ambao Jerry Slaa ameutatua karibuni, una historia ndefu sana.

Nimeshaandika sakata hili.

Unaweza kusoma kwa link hapo chini👇

x.com/fbuyobe/status…

account_circle
Gaure(@gauremdee) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia neno mbuzi🐐, wengi moja kwa moja wanajua ni kitoweo, nyama choma laini, inakuja na ndizi, kachumbari na pilipili.

Kwenye Fasihi, mbuzi ni kiumbe hakina utulivu, chenye hekaheka mara zote.

🐐anaweza kutumika kwenye mbio, na watu wakavuna mpunga kwa kuwabetia yupi

account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

📢Unamaono kuhusu namna ambavyo ungependa yetu iwe miaka ijayo katika sekta mbalimbali?

Shindano la linakupa nafasi ya kuwasilisha maono yako kupitia mqandiko.

Unaweza kuandika kuhusu utawala bora, elimu, afya, teknolojia, kilimo n.k.

Andiko

account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

📣📣Citizen Power in Action!

Our 2023 Annual Report showcases citizen-led progress & inspiring stories from 🇺🇬🇹🇿🇰🇪.

Read how we're building trust & influencing national agendas.

 
twaweza.org/wp-content/upl…

📣📣Citizen Power in Action! Our 2023 Annual Report showcases citizen-led progress & inspiring stories from 🇺🇬🇹🇿🇰🇪. Read how we're building trust & influencing national agendas.  #ChangeNiSisi twaweza.org/wp-content/upl…
account_circle