GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profileg
GlobalPeaceTanzania

@globalpeacetz

Chapter of @GlobalPeace | We promote an innovative values based approach to Peace Building & build a culture of service.

ID:3412346692

linkhttp://www.globalpeace.org calendar_today10-08-2015 09:25:33

11,4K Tweets

6,6K Followers

191 Following

Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya GlobalPeaceTanzania kupitia tumeunda klabu za amani katika ngazi ya jamii na mashuleni ambapo moja ya elimu na miundombinu iliyotiliwa mkazo ni tehama. Tuna vituo vitatu vya Tehama vyenye miundombinu wilaya ya Kilwa, Mtwara, na Tandahimba.

Taasisi ya @globalpeacetz kupitia #dumishaamani tumeunda klabu za amani katika ngazi ya jamii na mashuleni ambapo moja ya elimu na miundombinu iliyotiliwa mkazo ni tehama. Tuna vituo vitatu vya Tehama vyenye miundombinu wilaya ya Kilwa, Mtwara, na Tandahimba. #GirlsInICTDay
account_circle
Ivona kamuntu(@IvonaKamuntu) 's Twitter Profile Photo

Wazazi pia wanahitaji kupitia katika usuluhishi, njia bora za kumaliza tofauti zao na kujenga familia kwa vitendo na mifano. Si uvumilivu tu, kuwaza michango ya harusi, kujenga heshima kwa kuoza/ozesha, NDOA ni taasisi nzito yenye kuhitaji zaidi ya shule.

account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji wawekezaji, sio? Lakini unadhani wanaweza kuwekeza rasilimali zao mahali ambapo hakuna uhakika wa utulivu? Jibu unalo! Penye machafuko kuna uharibifu wa familia na mali. Hivyo, tunawajibika kuilinda amani ya nchi yetu kwa gharama yoyote.

Tunahitaji wawekezaji, sio? Lakini unadhani wanaweza kuwekeza rasilimali zao mahali ambapo hakuna uhakika wa utulivu? Jibu unalo! Penye machafuko kuna uharibifu wa familia na mali. Hivyo, tunawajibika kuilinda amani ya nchi yetu kwa gharama yoyote. #GlobalPeace #DumishaAmani
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Nyumba hujengwa tofali moja baada ya lingine. Na ndivyo ilivyo katika ujenzi wa amani -- ni jukumu la kila mwanajamii. Tumepata fursa ya kutembelea wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Mtwara ambapo tumewapatia stadi mbalimbali ili wawe chachu ya mabadiliko katika jamii.

Nyumba hujengwa tofali moja baada ya lingine. Na ndivyo ilivyo katika ujenzi wa amani -- ni jukumu la kila mwanajamii. Tumepata fursa ya kutembelea wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Mtwara ambapo tumewapatia stadi mbalimbali ili wawe chachu ya mabadiliko katika jamii. #GlobalPeace
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Je, unatumiaje mitandao ya kijamii? Kwa kujenga au kubomoa? Fanya chaguo sahihi. Usitumie majukwaa haya kujenga chuki, vurugu au maumivu kwa wengine. Itumie kwa kuiunganisha jamii na kuleta mshikamano. Chagua amani! πŸ•ŠοΈπŸ€

Je, unatumiaje mitandao ya kijamii? Kwa kujenga au kubomoa? Fanya chaguo sahihi. Usitumie majukwaa haya kujenga chuki, vurugu au maumivu kwa wengine. Itumie kwa kuiunganisha jamii na kuleta mshikamano. Chagua amani! πŸ•ŠοΈπŸ€ #GlobalPeace #MitandaoNaAmani
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Great leaders aren't born, they're made! We're in Mtwara Rural's Libobe Secondary School, providing mentorship opportunities. Students get to learn from experienced leaders who can offer valuable guidance. πŸ‘‘πŸ—£


Great leaders aren't born, they're made! We're in Mtwara Rural's Libobe Secondary School, providing mentorship opportunities. Students get to learn from experienced leaders who can offer valuable guidance. πŸ‘‘πŸ—£ #GlobalPeace #futureleaders #mentorship #youthempowerment #student
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Every drop of rain is a gift from nature. We can show our gratitude by planting trees and protecting our planet for those who come after us. β›ˆοΈπŸŒΏ

Every drop of rain is a gift from nature. We can show our gratitude by planting trees and protecting our planet for those who come after us. β›ˆοΈπŸŒΏ #PlantATree #mondaythoughts #GlobalPeace #EnvironmentalConservation
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Amani ni Tunu. Ni zao la juhudi za makusudi. Ujenzi wa Amani ni jukumu la wote, ndio maana tunaendelea kufanya kazi na makundi tofauti ya jamii.

Amani ni Tunu. Ni zao la juhudi za makusudi. Ujenzi wa Amani ni jukumu la wote, ndio maana tunaendelea kufanya kazi na makundi tofauti ya jamii. #GlobalPeace #Tanzania #Amani #Utulivu
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Amani ni Tunu. Ni zao la juhudi za makusudi. Ujenzi wa Amani ni jukumu la wote, ndio maana tunaendelea kufanya kazi na makundi tofauti ya jamii.

Amani ni Tunu. Ni zao la juhudi za makusudi. Ujenzi wa Amani ni jukumu la wote, ndio maana tunaendelea kufanya kazi na makundi tofauti ya jamii. #GlobalPeace #Tanzania #Amani #Utulivu
account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Ni jukumu la jamii kuwaandalia vijana mazingira ya kujipatia kipato. Badala ya kuwashutumu tu kuwa ni wavivu, wanachagua kazi au wahuni tuwaonyeshe njia.

Ni jukumu la jamii kuwaandalia vijana mazingira ya kujipatia kipato. Badala ya kuwashutumu tu kuwa ni wavivu, wanachagua kazi au wahuni tuwaonyeshe njia. #GlobalPeace #DumishaAmani #KaziNiUtu
account_circle