jabir bin jabaar(@jabirMoh3) 's Twitter Profileg
jabir bin jabaar

@jabirMoh3

To dare is to do

ID:1086925557848305664

calendar_today20-01-2019 09:57:01

361 Tweets

224 Followers

1,5K Following

Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

2011 nilivunjika mkono, maumivu makali sana, tukaenda hospital, kwenye foleni kuna jamaa alikuja kapigwa mtalimbo kwenye paji la uso, u dont look twice 😳
Hapo ndio nilijifunza, unaweza kuona unapitia magumu,lakini kuna watu wana ya zaidi yako.
Tuvumilie our struggles,vinaishaga.

account_circle
K A G A(@iamKaga) 's Twitter Profile Photo

Next question watu wanauliza, 'Haya mtu kaiba namba yangu, ataipataje password zangu?'

Moja ya vitu ilikuwa inanishangaza kwa kipindi kile ni namna watu wako makini kutotoa password zao za simu ila wengi wako OK kutoa password kulogin kwenye laptop yao.

Fact kubwa ni kwamba mtu

Next question watu wanauliza, 'Haya mtu kaiba namba yangu, ataipataje password zangu?' Moja ya vitu ilikuwa inanishangaza kwa kipindi kile ni namna watu wako makini kutotoa password zao za simu ila wengi wako OK kutoa password kulogin kwenye laptop yao. Fact kubwa ni kwamba mtu
account_circle
Bonta Kiraka(@BontaKiraka) 's Twitter Profile Photo

Lau Fortunatus Buyobe maandiko ndio yametukataza hvyo thats why wala sio makosa yetu ...kwenye dini yetu sikukuu ni mbili tu idil fitri na idil adh-ha nje na hapo ni makosa tu

account_circle
Hassanali Salumu(@SalumuHassanali) 's Twitter Profile Photo

mwasi kondoa Swahili Times Dalili Zilizokuja Ni Kufunga Kwa Kuuona Na Kufungua Kwa Kuuona Mwezi Kwamaana Ikifika 29 Unatafuta Kama Hukuuona Basi Unakamilisha 30

account_circle
Nicolaus Mwamposa(@nicomwamposa) 's Twitter Profile Photo

JE? UMESUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO BILA KUPONA KABISA KWA MUDA SASA?...NINA HABARI NJEMA



Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na staili ya Maisha, Ulaji na Mazingira. Ugonjwa huu kitaalam unasababisha

JE? UMESUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO BILA KUPONA KABISA KWA MUDA SASA?...NINA HABARI NJEMA #ThreadsOfLight Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na staili ya Maisha, Ulaji na Mazingira. Ugonjwa huu kitaalam unasababisha
account_circle
Samwel Ngulinzira(@S_Ngulinzira) 's Twitter Profile Photo

Kigogo Media Serikali iondoe tozo ya 6% inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu
HESLB Tanzania
kila mwaka kwa kila mnufaika.
Tozo hii haiendani na vipato vya Watanzania.
Mkopo wa elimu sio sawa na mkopo wa kibiashara Samia Suluhu

account_circle
Yericko Nyerere(@YerickoNyerereT) 's Twitter Profile Photo

Naomba wote ambao mko unfollow mretweet na mnifollow tena, Account yangu ilichezewa ikaondoa marafiki wengi. Follow na retweet nami nita-follow back fasta...!

account_circle