Dr Lwaitama(@lwaitama1) 's Twitter Profileg
Dr Lwaitama

@lwaitama1

Tanzanian by name Dr Hezron Lwaitama dr of facial plastic and reconstructive surgery at the Johns Hopkins University School of Medicine Phone :+1(301)366-9612

ID:1502300856351440896

calendar_today11-03-2022 15:10:21

612 Tweets

2,5K Followers

35 Following

Follow People
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Fatma, unakuaje ‘bogus’ namna hii? Maoni binafsi ya mtu ambaye siyo kiongozi wa taasisi unayafanya vipi kuwa mtazamo, mwelekeo na msimamo wa taasisi?

Fatma, hii kazi ambayo unafanya unafanya kazi ya CCM ambayo wameifanya kwa miaka zaidi ya 20 sasa wakisema CHADEMA ni chama cha

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo ameongoza maandamano ya amani leo January 24,2024 akiwa ameambatana na Watoto wake wanne ambao ni Aishi, Nicole, Denis na Dudley ambapo Watoto hao wamesema wamejiunga na maandamano hayo kusimama na Nchi yao, kudai haki za binadamu

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Mbezi ya Motoooooooooooo..!

Maandamano Day.

Hapa bado tunamsubiri Mheshimiwa Tundu Lissu tulianzishe.

waliopo katibu wasogee wanjiani watusubiri

Mbezi ya Motoooooooooooo..! Maandamano Day. Hapa bado tunamsubiri Mheshimiwa Tundu Lissu tulianzishe. waliopo katibu wasogee wanjiani watusubiri
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Pep Guardiola alipoulizwa Kama ni kocha bora wa Muda wote alijibu
“Hapana kabisa mimi siyo hakika, nadhani Makocha bora ni wale wanaobadili tamaduni au mazoea ya mchezo kutoka ilivyozoeleka Kwenda aina nyingine ya Soka na kuleta mafanikio, Arrigo Sacchi alibadili mazoea huko

Pep Guardiola alipoulizwa Kama ni kocha bora wa Muda wote alijibu “Hapana kabisa mimi siyo hakika, nadhani Makocha bora ni wale wanaobadili tamaduni au mazoea ya mchezo kutoka ilivyozoeleka Kwenda aina nyingine ya Soka na kuleta mafanikio, Arrigo Sacchi alibadili mazoea huko
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Mkristo ambaye hapendi Mazuri yanayopatikana kwenye AGANO JIPYA Maana imesahihisha mabovu mengi ya AGANO LA KALE,

Kwetu wa wakristo AGANO JIPYA NDO KATIBA MPYA, na AGANO LA KALE NDO KATIBA YA 1977
Naeleza mchambuzi wa Tanzania Abroad TV kwa Kina

✍🏻AGANO la Kale ndo

account_circle
Dr Lwaitama(@lwaitama1) 's Twitter Profile Photo

Hii Tabia ya Vijana kujipendekeza sana inatia mashaka Kama hawa vijana wakipewa Uongozi wanaweza wakajipendekeza kwa mabeberu kuuza Utu wetu !

account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

UDOM AGAIN

Greetings I am a student of the university of dodoma there is something wrong going on at the university some of the students have hacked the Sr 2 system that is concerned with results of the students however the information was given almost 3 months before but there

account_circle
Dr Lwaitama(@lwaitama1) 's Twitter Profile Photo

Usishangae SAMIA kasaini mkataba mwingine hewa huko dubai! Ili sasa tusi concentrate na safari yake wakarusha hili songo mbingo la Jeneza nawaza sana kwa umbali

account_circle