Masoud Kipanya(@masoudkipanya) 's Twitter Profileg
Masoud Kipanya

@masoudkipanya

Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist

ID:430509231

calendar_today07-12-2011 07:49:12

11,8K Tweets

2,0M Followers

73,5K Following

Follow People
Masoud Kipanya(@masoudkipanya) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni mzalishaji mdogo, ungana nasi kwenye umoja wetu wa Chama cha Wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji Tanzania tuweze kuwa na sauti ya pamoja ili kuyafikia malengo.
Piga namba hii +255673427570

@tassim_tanzania

account_circle
Masoud Kipanya(@masoudkipanya) 's Twitter Profile Photo

Chukua hii..
Mwenyezi Mungu alikuwepo kabla ya kuwepo Mahali.
Mfano: Wewe kuwa duniani/ulimwenguni maana yake imeanza kuwepo dunia/ulimwengu kabla ya wewe.
Sasa Aliyetuumba alikuwepo yeye kabla ya sehemu aliyokuwepo kuwepo.

account_circle
Hussein M Bashe(@HusseinBashe) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi kupata wasaa wa kukaa na Ndg Masoud Kipanya kufanya mahojiano ya mambo kadha wa kadha kwenye Sekta ya Kilimo

Link ya Interview - youtu.be/dPx-NXfSSBs?si… via YouTube

account_circle
Zoë✨(@Asia_Zamah) 's Twitter Profile Photo

Shida ni Nyie Mafeminist, Ambao Badala Ya Kufundishana Jinsi ya Kuweza Kujenga Nyumba Zenu kwa Kuwa Wanyenyekevu kwa Waume Zenu, Mnaleta Toxic feminism Kuwafundisha Wenzenu Kushindana na Waume Zao, Mwisho Wa Siku Wanaona Bora Wabakie Single Coz They Can’t Bear Commands.

account_circle