Mwigulu Nchemba, PhD(@mwigulunchemba1) 's Twitter Profileg
Mwigulu Nchemba, PhD

@mwigulunchemba1

Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #Leadership

ID:1872561842

linkhttp://mof.go.tz calendar_today16-09-2013 18:14:06

4,1K Tweets

534,0K Followers

358 Following

Follow People
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi mikubwa.

Dkt Mwigulu Nchemba amesema hata kama Fedha hizo ni za Mkopo, bado ni Fedha za…

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi mikubwa. Dkt Mwigulu Nchemba amesema hata kama Fedha hizo ni za Mkopo, bado ni Fedha za…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili kudhibiti tabia ya baadhi ya taasisi za fedha kutoa mikopo kinyume na miongozo iliyopo.

Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb),…

Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili kudhibiti tabia ya baadhi ya taasisi za fedha kutoa mikopo kinyume na miongozo iliyopo. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb),…
account_circle
Gabriel Mwang'onda🇹🇿(@GMwangonda) 's Twitter Profile Photo

Finally wakandarasi wazawa waanze kunufaika, wizara ya ujenzi huwa na bajeti hadi zaidi ya Trillion tano sometimes.

Pesa nyingi huenda road funds hatimaye Tanroads, ukiangalia kazi nyingi za Tanroads hupewa wageni, hii haijakaa sawa kabisa.

Tunafurahi kusikia vikwazo kwa…

account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

BENKI YA DUNIA WAKUBALI HOJA YA MWIGULU, SASA WAKANDARASI WAZAWA KUPATA TENDA KUBWA.

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi…

BENKI YA DUNIA WAKUBALI HOJA YA MWIGULU, SASA WAKANDARASI WAZAWA KUPATA TENDA KUBWA. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi…
account_circle
Lemutuz TV(@lemutuztv) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi mikubwa.

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi mikubwa.
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali inaendelea kufanya upembuzi yakinifu kuhusu namna bora ya uanzishwaji wa Skimu ya Bima za Kilimo nchini kwa kuangalia utaratibu wa sheria, uendeshaji na gharama za utoaji wa bima za aina hiyo.

Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad…

Serikali inaendelea kufanya upembuzi yakinifu kuhusu namna bora ya uanzishwaji wa Skimu ya Bima za Kilimo nchini kwa kuangalia utaratibu wa sheria, uendeshaji na gharama za utoaji wa bima za aina hiyo. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Washington D.C

🇹🇿🇺🇸

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao cha ujumbe wa Tanzania ambao aliuongoza na Ujumbe wa Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na Kusini mwa…

📍Washington D.C 🇹🇿🇺🇸 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao cha ujumbe wa Tanzania ambao aliuongoza na Ujumbe wa Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na Kusini mwa…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Washington D.C

🇹🇿🇺🇸

Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (MCC), Bi. Chidi Blyeden (kushoto), akizungumza jambo baada ya Mkutano wa Uongozi wa Shirika hilo na Ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba…

account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuidhinishia Tanzania miradi 14 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.87, kupitia mpango wa Benki hiyo wa utoaji mikopo na misaada (IDA-20), zilizoelekezwa katika miradi…

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. @mwigulunchemba1, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuidhinishia Tanzania miradi 14 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.87, kupitia mpango wa Benki hiyo wa utoaji mikopo na misaada (IDA-20), zilizoelekezwa katika miradi…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Shirika la Maendeleo la Marekani (@USAID ) ukiongozwa na Msaidizi wa Utawala anayesimamia Afrika, Dkt. Monde Muyangwa , ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha uhusiano…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Shirika la Maendeleo la Marekani (@USAID ) ukiongozwa na Msaidizi wa Utawala anayesimamia Afrika, Dkt. @MuyangwaUSAID , ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha uhusiano…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) na Waziri wa Fedha, Bajeti na Mipango ya Uchumi wa Burundi, Mhe. Audace Niyonzima, wamekutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Washington D.C, nchini Marekani, kando ya mikutano ya Majira ya Kipupwe…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) na Waziri wa Fedha, Bajeti na Mipango ya Uchumi wa Burundi, Mhe. Audace Niyonzima, wamekutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Washington D.C, nchini Marekani, kando ya mikutano ya Majira ya Kipupwe…
account_circle
Ministère des Finances Burundi(@FinancesBdi) 's Twitter Profile Photo

Le Ministre Ministère des Finances Burundi en compagnie de l’ urduBurundiàWashington , a rencontré, au bureau de l’ de la République Unie de Tanzanie à Washington, le Ministre Ministry of Finance Tanzania. L’état d’avancement du projet de chemin de fer était l’objectif de la réunion.

Le Ministre @FinancesBdi en compagnie de l’#AmbassadeurduBurundiàWashington, a rencontré, au bureau de l’#Ambassade de la République Unie de Tanzanie à Washington, le Ministre @mofURT. L’état d’avancement du projet de chemin de fer était l’objectif de la réunion.
account_circle
USA em Português(@USAemPortugues) 's Twitter Profile Photo

.Alice Albright: Gostei de reconectar-me com o Ministro Nchemba Mwigulu Nchemba, PhD para discutir o desenvolvimento contínuo do Programa Limiar Millennium Challenge na Tanzânia. Ansiosos por progresso e colaboração contínuos! x.com/MCC_CEO/status…

account_circle