Radio Maisha
@radiomaisha
Kwa vipindi bomba , muziki bora wa kiafrika na habari tendeti, tegea Radio Maisha. Tuko mbele pamoja.
ID:139772819
http://standardmedia.co.ke/radiomaisha/ 03-05-2010 16:51:06
1,1M Tweets
662,3K Followers
294 Following
Follow People
Monday Massage Rhumba na @titinirhumba na Deejay Works kutoka saa moja hadi saa nne usiku. #RhumbaRepublik #RadioZaidiYaRadio
#HabariZaSasa
Walimu wa shule za Sekondari ya Awali JSS waandamana katika kaunti mbalimbali kushinikiza Tume ya Huduma kwa Walimu TSC kuwaajiri kwa kandarasi za kudumu.
#MaishaNiBoraZaidi
#RadioZaidiYaRadio
#NzulaNaOkumu
#HabariZaSasa
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na janga la mafuriko nchini yafikia 277.
#MaishaNiBoraZaidi
#RadioZaidiYaRadio
#NzulaNaOkumu
#HabariZaSasa
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi aponea shoka la Bunge la Kitaifa baada ya kuondolewa lawama kuhusu sakata ya mbolea ghushi.
#MaishaNiBoraZaidi
#RadioZaidiYaRadio
#NzulaNaOkumu
Maisha Jioni na @nzulamakosi na Mfalme Wa Dimba. 3pm - 7pm #NzulaNaOkumu #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi
Konnect na Kassim Mbui🇰🇪 na @djyoungkenya. 12pm - 3pm. #KonnectNaKassim #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi
Tuma ujumbe wa SMS kwa 15601 kisha uchague Radio Maisha kuwa Radio Station of the Year.... or visit kuzaawards.co.ke.
#RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi
Staarabika na Anne Njogu kutoka saa nne asubuhi hadi saa sita mchana. #Staarabika #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Ukiwa Kanairo lazma uwe na roho ngumu ama life itakufanya ile kitu.
Cheki vile #ShangaOnMMP drama kila weeknight pale GOtv Ch. 3 at 8 pm.
Download #MyGOtv App or Dial ✳423# to get or stay connected to GOtv Plus for the best shows in Kenya at KES 999 #BeautyAndTheBeads
To…
The Xiaomi May Promos are not done yet!! Buy any Redmi Note 13 series and get a free gift!!
Offer valid from 6th May - 30th May. @xiaomi_kenya
#XiaomiMayPromo #XiaomiMaySalesPromo
Radio Maisha Solomon zully Shugaboy KE Chris Da Bass Show Iko Iko🔥🔥🔥 Tuko mbele pamoja 🤝🤝🤝 #TatuSure
Mary waithira Mwangi Radio Maisha Solomon zully Shugaboy KE Chris Da Bass #Tatusure kama kawa naskiza all the way frm tulwet ktl shout out kwa mpoa wangu Lynne na mamangu gladys nelima #radiozaidiyaradio
Mary waithira Mwangi Radio Maisha Solomon zully Shugaboy KE Chris Da Bass Count me iiin auto tulwet ktl #Tatusure
📻 Tune into Radio Maisha tomorrow, Monday 13th May, 2024, at 8:00 AM!
Join our Board Chairperson FATMA BARAYAN on Maisha Asubuhi as she discusses youth economic empowerment and how to access funding from the Youth Fund.
Don't miss out!
#TatuSure #MaishaNiBoraZaidi
Tuko naye Fatma Barayan kwenye Bunge la Maisha asubuhi hii. #TatuSure #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi
Jana we found out nani kati ya Manchester United na Arsenal ni mkali. Anyway, jamaa wa Man U amesema this is a serious show, mambo ni finance bill na taxes tu leo 🤣🤣🤣 #TatuSure #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Gone with the floods.
Subscribe to the epaper on epaper.standardmedia.co.ke to read these and more stories.
#FactsFirst #TatuSure #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio