Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

FAINALI ASFC: Msikie Peter Otai alivyolisherehesha goli la Kennedy Musonda kwa lugha ya Kiingereza kwenye mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Azam FC.

FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’

Cup Final

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

FAINALI ASFC: Hili hapa shangwe la ubingwa baada ya Wananchi kukabidhiwa ‘mwali’ wao ndani ya dimba la Mkwakwani Tanga

FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’

Tuko LIVE

Cup Final Tanga…

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

FAINALI ASFC: Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amshuku Rais Samia Suluhu Hassan akisema shukrani hiyo ni kutoka moyoni mwake.

FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’

Tuko LIVE

Cup Final Tanga…

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

FAINALI ASFC: Huyu hapa Fiston Mayele naye akishiriki kwenye shangwe la ubingwa kupitia “Video Call” akiwasiliana na Djuma Shaban kutokea Cameroon

FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’

Tuko LIVE

Cup Final

account_circle
BBQGuys.com(@BBQ_Guys) 's Twitter Profile Photo

Maximize your backyard year round with an outdoor kitchen. Expand your outdoor space for cooking, eating, entertaining, and even relaxing. Get started today at BBQGuys!

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

FAINALI ASFC: Neno la makocha wa timu zote mbili (Kali Ongala wa Azam FC na Cedric Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga) wakizungumza baada ya mechi.

FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’

Tuko LIVE

Cup Final

account_circle