Trisha Khalid akumbuka siku waliovamiwa na wezi nyumbani kwao. #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Another Maskani47 proverb: 'Dawa ya mtaro ulioziba ni gogo.' #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Roncliffe Odit, 'Nilikutana na mdada mmoja nikamuingiza box, akanichanganya hadi nikavunja sheria barabarani, polisi wakanikamata, lakini msichana huyo akahepa kama sijachukua namba yake.πππ€£π€£ #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Mbaruk Mwalimu, 'Naona Arsenal wakibeba EPL.' #BillyNaMbaruk @Billymiya Mbaruk Mwalimu Ali Kauleni Hassan
Karibu kwa saa nne za burudani, uhondo na interaction kibao ndani ya Maskani 47 naye Billy Miya na @MbarukMwalimu. #BillyNaMbaruk
Karibu kwa saa nne za burudani, uhondo na interaction kibao ndani ya Maskani 47 #TBT edition naye Billy Miya na Mbaruk Mwalimu.
#BillyNaMbaruk #HapaNdipo
. STEPHEN LETOO - Kuna msichana nilikua namwandikia barua mwaka 2007 kumbe alikua anapeana zisomwe mbele ya kila mtu. #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Tumesema huwezi pata asali kwa shimo ya mtaro sioπ! #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Huyo ni nani anasema hii mask ya Billy ni udaku amefungia hapo ndaniππ! #HapaNdipo #BillyNaMbaruk
Mbaruk Mwalimu Billy Miya
Je, boyfriend wako hukuandikia 'poems' ama hii ni peer pressure?ππ #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Mwanaume yeyote anakula mutura, sausages, chips na anakunywa soda is a 'weak man'. #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Mbaruk Mwalimu Billy Miya