Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Dec 2005

Rais Kikwete na Makamu wake Dr. Ali Mohamed Shein na wake zao, Salma Kikwete (mwenye gauni jekundu) na Mwanamema Shein (na mtandio mweusi) wakiwa na wasanii wa Bongoflava Ikulu Dar.

Hapo Kikwete aliwaalika wasanii ofisini kwenda kutoa shukurani baada ya kufanya kazi

account_circle
๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ‡พ ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡ง ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡ฑ ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@dyabala01) 's Twitter Profile Photo

Akujawai tokea video kali yenye ubunifu mkubwa kama hii tangu kuanza kwa bongoflava apa nchini kama unabisha niambie ni video gani kali kuishinda hii ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜

ZUNGU(@callmezungu) 's Twitter Profile Photo

Sema haya yote umeyataka wewe Mmakonde, fanya kitu aise ukiendelea kukaa kimya Bongoflava inaenda kuwa Taarabu.

Sema haya yote umeyataka wewe Mmakonde, fanya kitu aise ukiendelea kukaa kimya Bongoflava inaenda kuwa Taarabu.
account_circle
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi(@JabirSaleh) 's Twitter Profile Photo

Masta: Kuvi unajua Bongoflava honour zamu yangu mwezi huu?

Kuvi: Ndio Masta si ni tarehe 26 Aprl pale WarehouseArena?

Masta : Ewaaa sasa hivi The Classic haihusiki?

Kuvi: Lazima ihusike kichaa wangu sema ngoja nkufikirie lini tu zee la magirini๐Ÿ˜†

Masta: habari ndio hiyo๐Ÿ˜†

Taivina James(@Thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Hili ni Folder langu la Beats Traps, Afro, Boom Bap, BongoFlava nagawa beats zote bure artist yyte anayetaka ani DM nimpe Free I mean Free kuna beats zaidi ya 200+

Rais Wa Wambea(@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

Mfalme wa BongoFlava Aingia Mazima Kwenye Biashara ya Media, Inasemekana ata washa mitambo ya Media yake Kabla ya Mwezi wa Nne 2024, All the Best King

Mfalme wa BongoFlava #KingKiba Aingia Mazima Kwenye Biashara ya Media, Inasemekana ata washa mitambo ya Media yake Kabla ya Mwezi wa Nne 2024, All the Best King
account_circle
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader(@Wakazi) 's Twitter Profile Photo

Leo tunaenda kumsupport, arguably the first Bongoflava Superstar.. Mr Nice!!

Itโ€™s Bongoflava Honors @ Alliance Francaise. From 8pm

MeaMswahili(@meamswahili) 's Twitter Profile Photo

Nyota wa Muziki wa BongoFlava Barnaba๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟA.K.A Mopao Ameweka Wazi Kuwa Ameamua Kuja na Ngoma Moja ya Amapiano Ambayo Ataiachia Hivi Karibuni.

Barnaba Amedai Wazo Hilo La Yeye Kuja na Amapiano Limetoka Kwa Mashabiki Zake Wakiitaji Nayeye Afanye Jambo Kwa Njia ya Miondoko Hiyo.

'THE' Adam ๐ŸŒŽ(@Adambrv) 's Twitter Profile Photo

Ali Kiba magic
Bringing Bongoflava back
Wengi wameshasarenda kwa Amapiano na Afribeat ya Naija

Askari wachache wamebaki mstari wa mbele. Akiwemo King Kiba. Na Darassa

Hii hapa La la la ya Kiba, Kingin all day. Twice on Sundays!

Ali Kiba magic
Bringing Bongoflava back
Wengi wameshasarenda kwa Amapiano na Afribeat ya Naija

Askari wachache wamebaki mstari wa mbele. Akiwemo King Kiba. Na Darassa

Hii hapa La la la ya Kiba, Kingin all day. Twice on Sundays!
account_circle
Rais Wa Wambea(@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

Lile goma la Chidi Benz ft Diamond PlatNumz Kali Sana ๐Ÿ™Œ
Verse Za KingKong Chorus Chibu, Sound Kali Sana, Duh BongoFlava ina utajiri Mkubwa wa Melodies, Flowz duuh
Imehit Saa Kumi na Mbili Asubuhi ๐Ÿš€๐Ÿš€๐Ÿš€
Wambea pia TumeiBless ๐Ÿ™

Lile goma la Chidi Benz ft Diamond PlatNumz #TunaishiNao Kali Sana ๐Ÿ™Œ
Verse Za KingKong Chorus Chibu, Sound Kali Sana, Duh BongoFlava ina utajiri Mkubwa wa Melodies, Flowz  duuh
Imehit Saa Kumi na Mbili Asubuhi ๐Ÿš€๐Ÿš€๐Ÿš€
Wambea pia TumeiBless ๐Ÿ™
account_circle
KITABU(@marcelkitabu) 's Twitter Profile Photo

Nafikiri battle za kizone kama hizi basi ili u win unapaswa tu kuwa na details nyingi za Zone ya mwenzako itakupa urahisi wa kuweka hoja mezani na kuzitetea.

Khali ameonyesha kuwa ana Details kibao za bongoflava, anapaswa kupata mtu mwenye Details nyingi za kwao pia. TUNAEEE ?