Jarrod Bowen amesaini mkataba wa muda mrefu na West Ham United hadi 2030!⚒️
Amekuwa mchezaji mwenye mchango mkubwa katika kikosi cha 'wagonga nyundo wa London' tangu alipowasili 2020, akiisaidia Klabu hiyo kufuzu michuano ya Ulaya misimu 3 mfululizo.
#Bowen2030 #PL #GetSporty
Jarrod Bowen has signed a new long-term contract with West Ham United until 2030!⚒️
He has become an influential member of the Irons’ squad since his arrival in 2020, helping the Club secure European qualification in 3 consecutive seasons.
#Bowen2030 #PL #GetSporty