M u d a 🚘🕺🏽(@CarGuyMuda) 's Twitter Profile Photo

🚨:Chemshabongo👇🏾

Assume Wewe Ni Mwanasheria Unashi Dar Unatakiwa Kukutana Na Mteja Dodoma Ambae Kama Ukifanikiwa Kumshawishi Akakupa Deal Utapata Million 45/50.

Una Saa5 Tu Kufika Dodoma. Kwenye Garage Yako Una Hizi German Brothers. Utaenda Na Ipi!!?

Na Kwanini (Optional)

account_circle
UBA TANZANIA(@uba_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Hongera kwa washindi wetu wa Chemsha Bongo ya wiki iliyopita.

Jibu swali letu ya wiki ijayo ujishindie zawadi mbalimbali kutoka benki ya UBA.

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Mercy Adhiambo, mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Nile Road aonyesha ubabe wake kwenye kitengo cha sanaa ~Spoken word.

Ali Kauleni Hassan

Wavuti: radio47.fm

account_circle
The Magna Carta 同理心 人性(@RealHauleGluck) 's Twitter Profile Photo

: Kifo cha ndugu yetu Joshua kinautata na kuzua maswali mengi sana (Kwa wenye akili ya kuchanganua mambo sio mbayuwayu):

i) Israel ni moja ya taifa lenye Teknolojia kubwa duniani.

ii) Israel ni moja ya Taifa lenye ulinzi mkubwa duniani.

iii)

#JoshuaMollel: Kifo cha ndugu yetu Joshua kinautata na kuzua maswali mengi sana (Kwa wenye akili ya kuchanganua mambo sio mbayuwayu):

#ChemshaBongo 

i) Israel ni moja ya taifa lenye Teknolojia kubwa duniani. 

ii) Israel ni moja ya Taifa lenye ulinzi mkubwa duniani. 

iii)
account_circle
Radioingo(@Radioingo) 's Twitter Profile Photo

Chemsha Bongo.

Nakendile khaale, nekhebulila, senekale kumiliango tawe. Ese nanu?
Nimetembea kitambo, kukumbuka sikufunga mlango. Mimi ni nani?
^DA

Chemsha Bongo.

Nakendile khaale, nekhebulila, senekale kumiliango tawe. Ese nanu?
Nimetembea kitambo, kukumbuka sikufunga mlango. Mimi ni nani?
^DA

#chemshabongo #khushiteru #KBCniYetu
account_circle