Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Naunga mkono hoja ya Lissu.

Kikokotoo ni dhulma kwa wafanyakazi.

Ni wizi,ni unyonyaji,ni unyanyasaji, ni kero.

As long waliokiweka wao hawajajuwekea ni UBINAFSI wa kiwango cha juu sana kwenye taifa la watu wanaohubiri HAKI.

ina watunga sheria WABINAFSI sana

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Lisu ukimpa sikio lazima akuweke Sawa

Kumbe kuna watu wanakatwa mpaka hela ya sare na ya kuzikwa?

Ila nachofurahi Kikokotooo kinamkuna kila mtu

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Sasa Biteko anawapiga biting Viongozi gani wanaoingilia muhimili?

Na muhimili gani unaingiliwa?

Mahakama inakataa haiingiliwi.

Bunge wanasema wao wapo huru.

Serikali inasema haiingilii mhimili wowote?

Mhimili gani unaingiliwa?

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Wabunge watapewa semina kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa....possible na posho ya semina watalipwa.

Mwananchi wa kawaida unatumiwa link tu utoe maoni yako kwa bando lako.

😀😀😀😀😀😀

Any way nisije kuzua TAHARUKI.

Maana uhuru wake una mipaka

Wabunge watapewa semina kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa....possible na posho ya semina watalipwa.

Mwananchi wa kawaida unatumiwa link tu utoe maoni yako kwa bando lako.

😀😀😀😀😀😀

Any way nisije kuzua TAHARUKI.

Maana #DemokrasiaYetu uhuru wake una mipaka
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Yaani Mpina pamoja na yoooooooote aliyofanya akiwa waziri bado haiondoi facts anazohoji Bungeni.

Kwa sababu zama za JPM mawaziri,MA RC na MA DC hata Polisi walizingua sana watu.

Na leo wengine wamepandishwa mavyeo...

inakwenda na Biti Boss anapenda nini?

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Mhe.Ruto rai yangu.

Naomba uvichukulie hatua vyombo vya Habari ambavyo vimepotosha kuhusu gharama za safari yako.

Kwa sababu vimezua taharuki si tu Kenya hadi Afrika Mashariki.

Mwisho. Usisikilize maneno ya Wakenya, wewe chapa kazi.

account_circle