John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Haya ni mauaji ya makusudi yanayofanywa na serikali dhalimu..

Haya ni makazi ya watu, polisi wanawafuata watu kwenye miji yao kuwapiga risasi na kuua vijana.

Sheria inataka watu walioko ndani ya mita 200 karibu na maeneo ya mgodi walipwe fidia na wahamishwe..

Mgodi umegoma…

account_circle
MazoeaWaNgoswe(@RahmaChuwa) 's Twitter Profile Photo

Ulipaji wa fidia kwa waathirika wa bonde la Msimbazi 2,102 kati ya 2,592 umekamilika na uandaaji wa nyaraka kwa ajili ya kuhamisha na kujenga karakana ya mabasi ya mwendokasi kutoka eneo la Jangwani kwenda Ubungo Maziwa umekamilika.

#Mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
account_circle
Tanzania Road Roamers(@tanroas) 's Twitter Profile Photo

Je! wajua basi la Abiria likipata ajali na abiria akapata majanga basi unaruhusiwa kilipwa fidia na kampuni husika? Basi leo nitakusanua ni hatua gani unapaswa kufuata ili kupata fidia yako.

Shuka chini….

Dickson Henry(@DicksonHen7900) 's Twitter Profile Photo

Achana na anasa za dunia
Hapa hatuishi milele
Rudi kwa Mungu wako
Mwamini YESU
kubali kwamba alitolewa wae fidia ya uovu wako mbele za Mungu.
Amua kuamini wokovu
MKUBALI YESU LEO.

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Tupaze sauti. Utwaaji wa ardhi ya vijiji kiholela au kwa fidia ndogo sio haki wala utu. Taratibu za kisheria na haki za kikatiba lazima zifuatwe. Uwekezaji hauwezi kuhalalisha uvunjaji wa haki za wananchi. Maslahi ya wananchi yana kipaumbele kuliko ya wawekezaji.

account_circle
Lastborn(@LastbornWaMama) 's Twitter Profile Photo

Ulipaji wa fidia kwa waathirika wa bonde la Msimbazi 2,102 kati ya 2,592 umekamilika na uandaaji wa nyaraka kwa ajili ya kuhamisha na kujenga karakana ya mabasi ya mwendokasi kutoka eneo la Jangwani kwenda Ubungo Maziwa umekamilika.

Ulipaji wa fidia kwa waathirika wa bonde la Msimbazi 2,102 kati ya 2,592 umekamilika na uandaaji wa nyaraka kwa ajili ya kuhamisha na kujenga karakana ya mabasi ya mwendokasi kutoka eneo la Jangwani kwenda Ubungo Maziwa umekamilika. 

#Mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
account_circle
HABARIMPYA TV(@HabarimpyaTv) 's Twitter Profile Photo

'Nilienda na Bango kwa Rais Samia, TANROADS Walinipiga, Ninawadai fidia Zaidi ya Milioni 100, Wanasema eti Wakinipa iyo Hela Nitakuwa Kichaa. Naomba Makonda Anisaidie'

account_circle
Nipashe Tanzania(@Nipashetz) 's Twitter Profile Photo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, kumlipa fidia ya Sh. milioni 80 aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia.ippmedia.com/nipashe/habari…

Rashda Zunde(@RashdaZunde) 's Twitter Profile Photo