Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

KAMWE NA MECHI YA WATANI: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametaja sababu zilizowasukuma kuwapa wazee mechi ya NBC Premier League dhidi ya watani wao Simba SC iliyopigwa Aprili 20, 2024.

(Imeandikwa na Ally Bakari )

account_circle
Salim Kikeke(@Salym) 's Twitter Profile Photo

Kwa heshima kubwa na taadhima nachukua nafasi hii kutangazia umma kujiunga rasmi na familia ya Ufalme. Huu ni ushirika ambao haujapata pengine kutokea kuunganisha majina makubwa katika Sanaa na katika Habari. Tunaunganisha nguvu katika kupeleka mbele tasnia zetu. Huu ni mwanzo wa…

account_circle
Mr Mushi(@mrmushico) 's Twitter Profile Photo

maisha sio shirika, maisha ni watu sasa wewe endelea kuharibu uhusiano mzuri na watu. habari za mchana 😋

Karibu mbao ngumu; mninga, mkongo na mtiki

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Nigeria imeongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa kati ya asilimia 25% na 35% huku ikiwasaidia kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha.

Mfanyakazi wa serikali anayelipwa mshahara mdogo zaidi sasa atapata Dola 324 sawa na shilingi Tsh. 839,160.84 kwa mwaka,…

#HABARI Nigeria imeongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa kati ya asilimia 25% na 35% huku ikiwasaidia kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha.
 
Mfanyakazi wa serikali anayelipwa mshahara mdogo zaidi sasa atapata Dola 324 sawa na shilingi Tsh. 839,160.84 kwa mwaka,…
account_circle
Askofu Emmaus B Mwamakula(@EmmausAskofu) 's Twitter Profile Photo

Kuifunga Simba SC sio kigezo cha kupanda kwa kiwango. Kiwango cha kupanda kwa soka hakipimwi kwa kushinda mechi zote za Uwanja wa Mkapa, bali hupimwa kwa timu kuonyesha kandanda safi inapominyana na timu za kutoka mataifa ya nje. Wapeni habari hii wale 'Wafipa'!

Victor Kepha(@VictorKepha) 's Twitter Profile Photo

Day 2
Wakati tukiadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, hasa katika maswala ya mazingira, hatukusahau kuzungumza kuhusu usalama wa waandishi wa habari na hatua zilizochukuliwa kwa kushirikiana na serikali.
Hatujafika tunapotaka kwenda ila hatupo tulipokuwa.

Prisca Kishamba(@PKishamba) 's Twitter Profile Photo

KUREJEA KWA PACOME UWANJANI WAPO WATU WATAKATA ROHO! ALAFU KUMBE JANA ALIKUWA ANACHEZA NA MGUU MMOJA🥱

Afisa habari wa Yanga Sc @alikamwe anasema fainali ya CRDB FEDERATION CUP wanaiona Wananchi Yanga Sc wakicheza na Wagosi wakaya Coastal Union na sio timu yoyote ile

Kamwe…

account_circle