Askofu akataa kufanya kesi kwa kuogopa kujibizana na mganga
#JamboKenya / MelodySinzore1 Vincent Ateya
Uhuru withdrew 7 billion from Central Bank of Kenya, received 7bilion from WHO, received 6billion from World Bank then other donations like from Denmark, Jack ma etc totalling to 24 billion. On behalf of Kenyans, am asking where is the money ?
#UhuruSpeaks
#JamboKenya
Shitera: Wanahabari walijigharamia safari yao kwenye ziara ya Rais Marekani na wengine waligharamiwa na Balozi la Marekani.
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Magazeti
> Nafuu bunge likiagiza walimu wa JSS waajiriwe.
> Tume yataka kaunti 10 zinazoitwa majina ya kikabila ziadilishwe.
#JamboKenya / MelodySinzore1 Vincent Ateya
Shitera: Rais Ruto alipewa heshima ya kipekee kwenye ziara yake Marekani.
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Hiyo ziara ya Rais mimi siongelei kitu,wacha nitupie macho!!
#JamboKenya Vincent Ateya MelodySinzore1 Gina ๐ฐ๐ช Radio Citizen #RadioNumberOne Michael Nyamoko
Magazeti... 28th May 2024
Listen Online: radiocitizen.co.ke
The Standard: The big climate rip off
Daily Nation: Intern teachers win fight for higher pay
Taifa Leo: KURA: UDA Walimana
#JamboKenya
Mr. Alfred Kidaha: Kuvunjavunja kwa kozi kwenye vyuo vikuu kumechangia kozi nyingi zisizo na manufaa kwa wanafunzi.
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Njogu: Kuna mambo mengi sana ya serikali inapaswa kushughulikia kwa wananchi baadala ya kujihusisha na siasa.
#JamboKenya
#RadioNumberOne
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Njogu: Kando na ziara ya Rais Marekani, ubadhirifu wa mali ya umma ni jambo la kila siku hapa Nchini.
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Je,maoni yako ni yapi kuhusu swala la Rais Ruto kutumia ndege ya kukodisha badala ya ndege ya KQ?
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Je, Maoni yako ni yapi kuhusiana na kupigwa marafuku kwa muguka kwenye kaunti ya Mombasa Kilifi na Taita Taveta?
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Jamila: Umuhimu wa wanahabari kufadhiliwa na Ubalozi kwenye ziara ya Rais Marekani.
#JamboKenya
#RadioNumberOne
Magazeti... 27th May 2024
Listen Online: radiocitizen.co.ke
The Standard: Abandoned Hustlers
Daily Nation: How tea farmers lost Sh600 Million.
Taifa Leo: Ushirika wao watikisa mlima
#JamboKenya / MelodySinzore1