Khamis Suedi Kagasheki(@KKagasheki) 's Twitter Profile Photo

Naungana na Mhe Muhammad Mchengerwa, Waziri wa Maliasili na Utalii, kutoa pole zangu kwa wafiwa na watumishi wa wizara kwa kuwapoteza hao ndugu zetu. Mwenyezi Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu. Wapumzike kwa amani.

Naungana na Mhe Muhammad Mchengerwa, Waziri wa Maliasili na Utalii, kutoa pole zangu kwa wafiwa na watumishi wa wizara kwa kuwapoteza hao ndugu zetu. Mwenyezi Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu. Wapumzike kwa amani. #KSK_Balozi
account_circle
Khamis Suedi Kagasheki(@KKagasheki) 's Twitter Profile Photo

Tumewahi kusema katika nyakati tofauti, mfumo wa utendaji biashara nchini hauridhishi. Nilitegemea Wizara ya Fedha na Bunge watuongoze. TRA ni ile ile, sheria ni zile zile, watendaji ni wale wale. Tusiwe wavivu. Bilakupitia hizi sheria, kazi yetu itabaki kuwa ngumu.

account_circle
Khamis Suedi Kagasheki(@KKagasheki) 's Twitter Profile Photo

Kama tunaogopa kifo basi tuogope maisha zaidi. Kama kifo cha hitaji maandalizi, maisha yahitaji maandalizi makubwa zaidi.

account_circle
emma~kajura🇹🇿(@kjr_i) 's Twitter Profile Photo

USIZUNGUMZIE Pesa Zako Mbele Ya Masikini;Afya Yako Mbele Ya Mgonjwa;Nguvu Yako Mbele Ya Mnyonge; Furaha Yako Mbele Ya Mwenye Huzuni;Uhuru Wako Mbele Ya Mfungwa;Mtoto Wako Mbele Ya Mgumba; Wazazi Wako Mbele Ya Yatima. Usiwazidishie Maumivu. ✍

account_circle
James Mumba(@jamesmumba) 's Twitter Profile Photo

Alinena mzee mmoja, mwanaadam angepiga hatua kubwa maishani mwake kama angalikubali kubali kujifunza kutokana na makosa yake badala kufanya kila jitihada za kuyakanusha makosa yale.

account_circle
Khamis Suedi Kagasheki(@KKagasheki) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia njema. Mfungo wa kheri na baraka. Ramadhan sio kinacho ingia midomoni bali kinachotoka. Tahadhari na usengenyaji, uzushi, fitna na uongo. Mwenyezi Mungu azitunuku Ibada na Siamu zutu daraja ya Imana Ihtisaba. Ramadhan Mubarak.

account_circle