#WenyeNchiWananchi(@KatibaMpyaTz_) 's Twitter Profile Photo

“Mambo ya watu kuchukuliwa ardhi, kuwekewa kodi zisizo na msingi yalifanywa na wakoloni lakini leo tunaona yanafanywa na Serikali ya CCM, tuwatoe madarakani na kupata ” — Abdulkarim Juma VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Mambo ya watu kuchukuliwa ardhi, kuwekewa kodi zisizo na msingi yalifanywa na wakoloni lakini leo tunaona yanafanywa na Serikali ya CCM, tuwatoe madarakani na kupata #KatibaMpya ” —  @JumaAbdukarim #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

TUCHUKUA HATUA KULINDA BANDARI : “Kimsingi suala la bandari tulitakiwa kutoka nchi nzima mara moja lakini kundi kubwa la watu linaendelea na shughuli zao kwa kuwa hawaelewi, tuelimishane ili kupinga udhalimu” — UCHEBE TV 📺 bit.ly/3CuHHvp

account_circle
Ntele(@WisemanNtele) 's Twitter Profile Photo

“Zanzibar kujisimamia kwenye baadhi ya mambo yake haina maana kuwa Zanzibar ni nchi ndio maana Zanzibar haiwezi kuingia mikataba kitaifa na ndio maana haina kiti katika umoja wa kimataifa” — Peter Madeleka VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Zanzibar kujisimamia kwenye baadhi ya mambo yake haina maana kuwa Zanzibar ni nchi ndio maana Zanzibar haiwezi kuingia mikataba kitaifa na ndio maana haina kiti katika umoja wa kimataifa” —  @PMadeleka #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

KUNA WABUNGE WANAPOTOSHA : “Kuna mbunge alipotosha umma kwa Ibara 117 ya katiba ya umoja wa falme za kiarabu inasema kuwa dubai ina vigezo vya mikataba ya kimataifa lakini si kweli kwa kuwa Dubai sio nchi” — Peter Madeleka

KUNA WABUNGE WANAPOTOSHA : “Kuna mbunge alipotosha umma kwa Ibara 117 ya katiba ya umoja wa falme za kiarabu inasema kuwa dubai ina vigezo vya mikataba ya kimataifa lakini si kweli kwa kuwa Dubai sio nchi” —  @PMadeleka #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
iam_Jac(@Iam_jac5) 's Twitter Profile Photo

“Kila kukicha Rais anazidi kuthibitisha kuwa CCM ni ileile, uonevu uleule na mipango yao ni ileile, hawabadili, tuwakatae kwa kupata VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Kila kukicha Rais anazidi kuthibitisha kuwa CCM ni ileile, uonevu uleule na mipango yao ni ileile, hawabadili, tuwakatae kwa kupata #KatibaMpya ” #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

TUNAWAJIBU KUELIMISHANA : “Tujaribu kuangalia sisi tuna taarifa na uelewa wa sakata la bandari ni wajibu wetu kueleimsha wengine ili waone kuna sabau ya wao kunya kupinga maovu ya sakata la bandari” — UCHEBE TV 📺 VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

account_circle
iam_Jac(@Iam_jac5) 's Twitter Profile Photo

“Mambo ya watu kuchukuliwa ardhi, kuwekewa kodi zisizo na msingi yalifanywa na wakoloni lakini leo tunaona yanafanywa na Serikali ya CCM, tuwatoe madarakani na kupata ” — Abdulkarim Juma VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Mambo ya watu kuchukuliwa ardhi, kuwekewa kodi zisizo na msingi yalifanywa na wakoloni lakini leo tunaona yanafanywa na Serikali ya CCM, tuwatoe madarakani na kupata #KatibaMpya ” —  @JumaAbdukarim #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
Weights & Biases(@weights_biases) 's Twitter Profile Photo

Free guide to training Large Language Models, covering everything from 📈 scaling and 🖥️hardware to 🔎 dataset selection and 💪 model training.

account_circle
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪(@NamdiAzikiwe) 's Twitter Profile Photo

“Mshikamano hupatikana mwituni, kama taasisi zitashindwa kushughulika basi sisi wananchi mmoja tushikamane ili kupata kupinga mkataba wa bandari kama wananchi na huu ndio utakuwa uzalendo halali” — Tito Magoti VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Mshikamano hupatikana mwituni, kama taasisi zitashindwa kushughulika basi sisi wananchi mmoja tushikamane ili kupata kupinga mkataba wa bandari kama wananchi na huu ndio utakuwa uzalendo halali” — @TitoMagoti #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
iam_Jac(@Iam_jac5) 's Twitter Profile Photo

“Hatuwezi kutakatisha maamuzi ambayo tayari yamekosewa, na bado kuna nafasi ya kubadili utaratibu wa mkataba urudi mwanzo ili kuanza mchakato bila kukosea” — Tito Magoti VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Hatuwezi kutakatisha maamuzi ambayo tayari yamekosewa, na bado kuna nafasi ya kubadili utaratibu wa mkataba urudi mwanzo ili kuanza mchakato bila kukosea” — @TitoMagoti #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪(@NamdiAzikiwe) 's Twitter Profile Photo

“Idhini na uhalali wa mambo ya kisiasa hufanyika na wananchi kupitia bungeni, nadhani tunatakiwa kuwa ujuzi huo ili kata kupinga sheria ambazo hazishirikishi wananchi” — Tito Magoti VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Idhini na uhalali wa mambo ya kisiasa hufanyika na wananchi kupitia bungeni, nadhani tunatakiwa kuwa ujuzi huo ili kata kupinga sheria ambazo hazishirikishi wananchi” — @TitoMagoti #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp
account_circle
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪(@NamdiAzikiwe) 's Twitter Profile Photo

“Suala hili la bandari lilitakiwa kuletwa kwa wananchi kwa ubora wa mazungumzo ya hali ya juu na kupata muafaka mzuri ambao wananchi wamekubaliana, hivyo ndivyo nchi ya kidemokrasia huendeshwa” — Tito Magoti VIDEO : bit.ly/3CuHHvp

“Suala hili la bandari lilitakiwa kuletwa kwa wananchi kwa ubora wa mazungumzo ya hali ya juu na kupata muafaka mzuri ambao wananchi wamekubaliana, hivyo ndivyo nchi ya kidemokrasia huendeshwa” — @TitoMagoti #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3CuHHvp