EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: “Timu yoyote ya Ligi kuu NBC isifike 2027 bila kujenga uwanja wa Mpira ni aibu leo kuona mechi zetu zinachezwa mchana huku mataifa ya mwenzetu wameweza ili hali ujenzi wa uwanja unawezekana kwani Vifaa vya kujengea uwanja vimetolewa ushuru” - Gilead Teri Mkurugenzi…

#MICHEZO: “Timu yoyote ya Ligi kuu NBC isifike 2027 bila kujenga uwanja wa Mpira ni aibu leo kuona mechi zetu zinachezwa mchana huku mataifa ya mwenzetu wameweza ili hali ujenzi wa uwanja unawezekana kwani Vifaa vya kujengea uwanja vimetolewa ushuru” - Gilead Teri Mkurugenzi…
account_circle
Yanga Princess(@YangaPrincess_) 's Twitter Profile Photo

Maandalizi ya kuuanza mzunguko wa pili wa ligi kuu ya wanawake yamekamilika, tuko tayari kwa mchezo wetu wa kwanza dhidi ya Baobab Queens hapo kesho🔰💪🏽

account_circle
Abissay Stephen Jr(@abissay_stephen) 's Twitter Profile Photo

Takwimu za Yanga SC Ligi Kuu NBC TZ 2023-24 So far;
-Kufunga magoli mengi 52 (1st)
-kufungwa machace 11 (1st)
-Alama nyingi 55 (1st)
-Longest Unbeaten 15 (1st)
-Kufunga magoli 3 au zaidi kwenye mechi moja, imefanya hivyo mara 10 (1st).
Yanga SC inaenda mwendo wa Kibingwa.

Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates 👇

➡️ Kocha wa Singida Fountain Gate Jamhuri Kihwelu amejiudhuru nafasi yake ndani ya timu hiyo kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa viongozi.

➡️ Julio alitangazwa kuwa kocha wa klabu hiyo Machi 13, 2024 na ameisimamia timu hiyo mechi moja ya Ligi Kuu ya NBC 🇹🇿

Game Ni 90(@GameNiNinety) 's Twitter Profile Photo

⚽🔥 | Elsewhere in Tanzania🇹🇿, Duke Abuya 🇰🇪 has completely destroyed Simba SC's center-back Enock Inonga to give Ihefu the lead in an ongoing Ligi Kuu match. The assist was a beautiful lob by Elvis Rupia 'Machapo' 🇰🇪.

#GameNi90 #FootballKE
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Klabu ya Wydad Casablanca haitashiriki ligi ya mabingwa msimu ujao wa 2024-2025 baada ya kushindwa kumaliza katika nafasi mbili za juu kwenye ligi kuu ya Morocco msimu huu

Matumaini ya Wydad yalikatishwa weekend hii baada ya kufungwa 1-0 dhidi ya FA Rabbat inayonolewa…

#MICHEZO: Klabu ya Wydad Casablanca haitashiriki ligi ya mabingwa msimu ujao wa 2024-2025 baada ya kushindwa kumaliza katika nafasi mbili za juu kwenye ligi kuu ya Morocco msimu huu

Matumaini ya Wydad yalikatishwa weekend hii baada ya kufungwa 1-0 dhidi ya FA Rabbat inayonolewa…
account_circle
MALENGO(@Malengoo) 's Twitter Profile Photo

Aziz ki ni hatari zaidi kwenye zone-14 na hilo halina ubishi ana dunia yake akiwa kwenye eneo hilo sio Ligi kuu tu hata kwenye mashindano ya CAF kwa ujumla.
Sababu anaweza kupiga pasi au akapiga shuti kwenye eneo hilo kwa usahihi.
Madhara yake akiwa pembeni ya kiwanja......