Martin. M . Charles(@TzGiza) 's Twitter Profile Photo

SSH Tanga alichangiwa Mill 2 Kwa ajili ya form
Mwanza mill 2
Songea mill 3 mbele ya Joketi
Shinyanga mill 2
Shinyanga mill 2
Kigoma mill 2
Na mikoa mingine Leo hii watu wanaona tabu na kujifanya kama hawajui mambo yaliyomkuta lissu
Inahuzunisha kuona watu wanabeza huu mchango.

account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Jumapili ya leo usikose nzuri kutoka kwangu kwa ajili ya ukumbusho na zawadi 🌸

A4 size
Tsh 7,000

Chagua picha unazozipenda nitumie whatsapp au dm nikutengenezee leo

πŸ“Sinza kumekucha
☎️ 0786445451

Delivery nafanya mikoa yote

Jumapili ya leo usikose #pichambao nzuri kutoka kwangu kwa ajili ya ukumbusho na zawadi 🌸

A4 size
      Tsh 7,000

Chagua picha unazozipenda nitumie whatsapp au dm nikutengenezee leo 

πŸ“Sinza kumekucha
☎️ 0786445451 

Delivery nafanya mikoa yote
account_circle
Said Tibita(SHT)(@Hatib147) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST πŸ™πŸΎ

RETRO KITS (VINTAGE)πŸ’₯

BEI 25,000

PRINTING MAJINA 5,000
KILA NAMBA 3,000

DM au Nicheki WhatsApp link Kwenye Bio yangu

No. 0714680305

Napatikana K/Koo mtaa Magila na Likoma karibu na Kanisa la KKT

NATUMA MIKOA YOTE.

Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

'Tumejiandaa vizuri na mchezo wa kesho na benchi la ufundi chini Kocha wetu Gamondi wameshamaliza kutupa maelekezo yote ni sisi kwenda kuipambania Klabu yetu na kuibuka na ushindi kesho.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba Mashabiki wetu wote wa Arusha na mikoa ya jirani kuja

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Joseph Osmund Mbilinyi (SUGU), Mgombea nafasi ya Mwenyekiti Kanda ya Nyasa βœ”οΈ

Kanda ya Nyasa yenye mikoa mitano (Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe) itaendeshwa kama NCHI chini ya maenyekiti JONGWE. Uchaguzi wa kanda utafanyika 29.05.2024 Makambako, Njombe. πŸ‘ŠπŸΎ

Joseph Osmund Mbilinyi (SUGU), Mgombea nafasi ya Mwenyekiti Kanda ya Nyasa βœ”οΈ

Kanda ya Nyasa yenye mikoa mitano (Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe) itaendeshwa kama NCHI chini ya maenyekiti JONGWE. Uchaguzi wa kanda utafanyika 29.05.2024 Makambako, Njombe. #NyasaMpya πŸ‘ŠπŸΎ
account_circle
π‘π’Άπ“Šπ‘“(@Rauftz) 's Twitter Profile Photo

WEEKEND NDO HII πŸ”₯πŸ“¦

Pendeza Kwa Out Zako Za Weekend Na T-Shirt Kali Na Za Kinyamwezi Zaidi.

Tunasafirisha Mikoa Yote Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ❀️ .

Kwa Leo Ni Free Delivery.

Free Delivery πŸ™Œ.

Bei : 30k .

masumbuko george(@masumbukogeorg4) 's Twitter Profile Photo

Serikali imerejesha furaha kwa wananchi wa Mwambao wa ziwa nyasa ikiwemo Mikoa ya Mbeya, Njombe na Ruvuma kwa kurejesha safari za Boti ya MV Mbeya II iliyokuwa inafanya safari zake kati ya Kiwira(kyela) mpaka MbambaBay(Nyasa) ikipita vituo 15.

#MamaYukoKazini
account_circle
Forever living πŸ¦…(@virutubishoo) 's Twitter Profile Photo

retweet kwanza πŸ™

Alafu sikiliza maelezo ya hio video taratib sekunde 30 tu

Bei zake

Argi plus πŸ‘‰232,000
Multi MacaπŸ‘‰ 84,000
Berry nectar πŸ‘‰80,000

Mawasiliano ☎️ Whatsapp/call 0659589167

Mikoa yote tunatuma 🚚

Karibu sana tuweze kukuhudumia mteja kwetu ni mfalme πŸ‘‘

account_circle
OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

*NAIBU KATIBU MKUU OR-TAMISEMI AKUTANA NA WALIMU ZAIDI YA 1,900 KARATU*

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dr. Charles E. Msonde amekutana na walimu wote wa Shule za Msingi, Sekondari, Walimu Wakuu, Wakuu wa Shule, Maafisa Elimu Kata, Wadhibiti

Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Ndug Bussara Jr. ameongoza kikao cha Wajumbe wa sekretarieti na Viongozi wa mikoa ya Unguja kutathimini kongamano la Vijana Znz. Kikao hicho kimehudhiriwa pia na Makamu mwenyekiti Ngome ya Vijna Taifa Ndugu Nassor Marhoun

Katibu wa @NgomeyaVijana Taifa Ndug @BussaraJr ameongoza kikao cha Wajumbe wa sekretarieti na Viongozi wa mikoa ya Unguja kutathimini kongamano la Vijana Znz. Kikao hicho kimehudhiriwa pia na Makamu mwenyekiti Ngome ya Vijna Taifa Ndugu @marhounjr

#SautiyaVijana
#NgomeipoKazini
account_circle
Said Tibita(SHT)(@Hatib147) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST πŸ™πŸΎ

NEW JERSEY πŸ’₯
Man Utd Away
AtlΓ©tico Madrid
BVB special
Palmeiras

BEI 25,000

PRINTING MAJINA 5,000
KILA NAMBA 3,000

DM au Nicheki WhatsApp link Kwenye Bio yangu
No. 0714680305

Napatikana K/Koo mtaa Magila na Likoma karibu na Kanisa la KKT

NATUMA MIKOA YOTE.

NAOMBA REPOST πŸ™πŸΎ 

NEW JERSEY πŸ’₯
Man Utd Away
AtlΓ©tico Madrid
BVB special
Palmeiras

BEI 25,000

PRINTING MAJINA 5,000
KILA NAMBA 3,000

DM au Nicheki WhatsApp link Kwenye Bio yangu
No. 0714680305

Napatikana K/Koo mtaa Magila na Likoma karibu na Kanisa la KKT

NATUMA MIKOA YOTE.
account_circle
Taasisi ya Moyo-JKCI(@TaasisiMoyoJKCI) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika kuadhimisha siku ya shinikizo la damu duniani inafanya upimaji wa magonjwa ya shinikizo la damu, sukari na moyo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Mwananchi Newspapers(@MwananchiNews) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewasili eneo la Mbagala Mzinga baada ya wananchi kufunga Barabara ya Kilwa inayounganisha Jiji la Dar es Salaam na mikoa ya kusini, kwa madai ya kuchoshwa na ajali zinazotokea kila siku.

account_circle
ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

ZIARA YA SHUKURANI

Kesho Jumamosi, tarehe 18/05/2024, Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Mh. Othman Masoud Othman, atafanya ziara ya ya Kuwashukuru Viongozi na Wanachama wa Mikoa Miwili ya Kichama wa Mkoa wa Kaskazini A na Kaskazini B.

Tukutane katika Ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali,

ZIARA YA SHUKURANI

Kesho Jumamosi, tarehe 18/05/2024, Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa, Mh. @othmasoud, atafanya ziara ya ya Kuwashukuru Viongozi na Wanachama wa Mikoa Miwili ya Kichama wa Mkoa wa Kaskazini A na Kaskazini B.

Tukutane katika Ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali,
account_circle
Seif Haruna Iddy(@seif_tanzania) 's Twitter Profile Photo

RADA ZA HALI YA HEWA ZAFIKIA 5

Rada 5 zimefungwa mikoa mbalimbali.

Mbili mpya zitafungwa Kilimanjaro na Dodoma na kufanya zifikie saba.

Usahihi katika utabiri wa hali ya hewa unachangia usalama wa taifa na kurahisisha mipango inayochagiza ustawi wa jamii.

RADA ZA HALI YA HEWA ZAFIKIA 5

Rada 5 zimefungwa mikoa mbalimbali.

Mbili mpya zitafungwa Kilimanjaro na Dodoma na kufanya zifikie saba.

Usahihi katika utabiri wa hali ya hewa unachangia usalama wa taifa na kurahisisha mipango inayochagiza ustawi wa jamii.

#MamaYukoKazini
account_circle
πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡΅πŸ‡ΈπŸ΄β€β˜ οΈ(@UchafuziM) 's Twitter Profile Photo

Natoa shukrani kwa makampuni ya mabasi ya Manning nice,Baraka Classic,Buti la Zungu,Civito,Warda,King Yassin wakati wa changamoto ya barabara ya Lindi to Dar mliwapitisha abiria wa mikoa ya kusini Songea to Dar.Wana kusini hatuna cha kuwalipa ASANTENI