Fanya Kweli, Usibaki Nyuma(@MtuNiAfya) 's Twitter Profile Photo

Mapambano dhidi ya kisukari na shinikizo la damu yanaanza na WEWE! 💪

Kuna ongezeko la kutisha la magonjwa haya yasiyoambukiza. Mazoezi ndio silaha yako dhidi ya magonjwa haya. Pata walau dakika 30 za kutoka jasho kila siku.

account_circle
Project CLEAR(@ProjectCleartz) 's Twitter Profile Photo

The hard work has paid off. After a hectic but rewarding journey of Project Designing for Mtu Ni Afya campaign, we have now officially launched the campaign!

Kazi imeanza!

The hard work has paid off. After a hectic but rewarding journey of Project Designing for Mtu Ni Afya campaign, we have now officially launched the campaign! 

Kazi imeanza!  #MtuNiAfya
account_circle
Dr. Norman Jonas(@NormanJonasMD) 's Twitter Profile Photo

| MOYO ndio injini ya uzima wako,

Linda MOYO ❤️ wako kwa:

1️⃣Kutovuta sigara
2️⃣Kudhibiti uzito
3️⃣Kula mboga za majani, matunda zaidi
4️⃣Kudhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
5️⃣Kupima presha na kisukari
6️⃣Kufanya mazoezi
7️⃣Kudhibiti Pombe

#MtuNiAfya| MOYO ndio injini ya uzima wako,

Linda MOYO ❤️ wako kwa:

1️⃣Kutovuta sigara 
2️⃣Kudhibiti uzito 
3️⃣Kula mboga za majani, matunda zaidi 
4️⃣Kudhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
5️⃣Kupima presha na kisukari
6️⃣Kufanya mazoezi
7️⃣Kudhibiti Pombe
account_circle
Dr. Norman Jonas(@NormanJonasMD) 's Twitter Profile Photo

ELIMU YA AFYA | Kisukari cha Ujauzito

➡️Kisukari cha ujauzito ni aina ya kisukari inayokua wakati wa ujauzito kwa wanawake ambao hawakuwa na kisukari kabla ya kupata mimba.

➡️Hali hii huathiri wanawake wajawazito 2-10%.

➡️Ingawa kawaida hupotea baada ya kujifungua,

ELIMU YA AFYA | Kisukari cha Ujauzito #MtuNiAfya

➡️Kisukari cha ujauzito ni aina ya kisukari inayokua wakati wa ujauzito kwa wanawake ambao hawakuwa na kisukari kabla ya kupata mimba. 

➡️Hali hii huathiri wanawake wajawazito 2-10%.

➡️Ingawa kawaida hupotea baada ya kujifungua,
account_circle
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™(@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Nchi imesimama, na Viongozi wa Serikali pamoja na wananchi wote macho na masikio yetu yameelekea Dodoma ambapo leo Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu anasoma bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/2024.

#MtuniAfya
account_circle
MENTOR(@jofrey_mentor) 's Twitter Profile Photo

Day 5 My health
Running 🏃 21.42Km per 1hr with 1331 Kcal 9'28 peace(/km)

Kaka James ukinijibu hii Jumamosi nakutumia zawadi I promise 🤣🙌 halafu Juma pili napga zaidi ya leo!

Am done for today 🔥🔥

Day 5  My health 
Running 🏃  21.42Km per 1hr with 1331 Kcal  9'28 peace(/km) 

Kaka @Jymesjohnes ukinijibu hii Jumamosi nakutumia zawadi I promise 🤣🙌 halafu Juma pili napga zaidi ya leo!
#MtuNiAfya 
#FanyaMazoezi 
Am done for today 🔥🔥
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

- ni miaka 50 toka Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere alipoasisi kampeni hii ya Afya na Usafi wa Mazingira! tumeona bado kaulimbiu hii ni relevant ktk muktadha wa leo wa kuelimisha na kuhamasisha Wananchi kuzingatia Kanuni za Afya na Usafi wa Mazingira ili kujikinga na

#MtuNiAfya - ni miaka 50 toka Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere alipoasisi kampeni hii ya Afya na Usafi wa Mazingira!  tumeona bado kaulimbiu hii ni relevant ktk muktadha wa leo wa kuelimisha na kuhamasisha Wananchi kuzingatia Kanuni za Afya na Usafi wa Mazingira ili kujikinga na
account_circle
UNICEF Tanzania(@UNICEFTanzania) 's Twitter Profile Photo

We’re at the launch of the phase two campaign. This phase aims to enhance WASH services, health promotion and prevention of disease outbreaks in schools, health facilities and hard to reach areas to ensure 💙

We’re at the launch of the #MtuNiAfya phase two campaign. This phase aims to enhance WASH services, health promotion and prevention of disease outbreaks in schools, health facilities and hard to reach areas to ensure #NoOneIsLeftBehind 💙
account_circle
Dr. Norman Jonas(@NormanJonasMD) 's Twitter Profile Photo

ELIMU MUHIMU SIKU YA FIGO 2024 - Dkt. Norman Jonas
Figo Zetu; Tumaini la maisha yetu;

Chujio la mwili lakini rahisi kudhurika; Likidhurika Maisha sio rahisi;

LINDA FIGO ZAKO;

NJIA ZIPI UTUMIE

Soma chini👇

Figo zako ni kama shujaa anayesaidia kutunza uhai wako.

ELIMU MUHIMU SIKU YA FIGO 2024 - Dkt. Norman Jonas #MtuNiAfya