ใƒขใƒชใ‚ฃ๐Ÿฆ‹๐Ÿฌ๐ŸงŠ๐Ÿ’™(@mikaitaku_mory) 's Twitter Profile Photo

ใ›ใฎใ—ใ™ใŸใ10ๅ‘จๅนดใƒฉใ‚คใƒ–ใ‚ใ‚ŠใŒใจใ†ใ”ใ–ใ„ใพใ—ใŸโฃ๏ธใพใŠใกใ‚ƒใ‚“ใ‚†ใƒผใŸใ‚“ๆฃฎๆฐธใ•ใ‚“ๆœฌๅฝ“ใซใŠใ‚ใงใจใ†๏ผ†ใŠ็–ฒใ‚Œๆง˜ใงใ—ใŸ๐Ÿชฉ๐Ÿชฉ๐ŸชฉNDG1ๅนดใถใ‚Šใฎใƒฉใ‚คใƒ–ๆฅฝใ—ใ‹ใฃใŸใ€œ๐Ÿฅน๐Ÿซถ๐Ÿป๏ธ๐Ÿ’“ๆœ€้ซ˜

account_circle
๐“…ช NDG ๐“…ช(@NDG_0_0) 's Twitter Profile Photo

๋ถˆ๋‹ญ๋ณถ์Œ๋ฉด 1๋ถ„ 30์ดˆ ๋Œ๋ ธ๋‹ค ์„ž๊ณ  ๋˜ 1๋ถ„ 30์ดˆ ๋Œ๋ ค์„œ ๋จน์–ด์•ผํ•˜๋Š” ์ด์œ 

๋ถˆ๋‹ญ๋ณถ์Œ๋ฉด 1๋ถ„ 30์ดˆ ๋Œ๋ ธ๋‹ค ์„ž๊ณ  ๋˜ 1๋ถ„ 30์ดˆ ๋Œ๋ ค์„œ ๋จน์–ด์•ผํ•˜๋Š” ์ด์œ 
account_circle
ๅˆๆœŸใฎๆ–ฐๆฉ‹ใฑใ†ใˆใ‚‹๐Ÿ’ข(@yokosuka22) 's Twitter Profile Photo

้‚ใซๅœฐ็„ใฎใ‚ˆใ†ใชๆททๆฒŒใŒๅน•ใ‚’้–‹ใ‘ใฆใ—ใพใ„ใพใ—ใŸใŒใ€็”Ÿใใฆใ‚‹ใฃใฆใ„ใ†ๅฎŸๆ„Ÿใ ใ‘ใฏๅ‡„ใ„โ€ฆฮฃ(๏พŸะด๏พŸlll)๏ฝถ๏พž๏ฝฐ๏พ

account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa NEC Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla akiwa kwenye studio za UTV Azam Media mwanzoni kwa ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari nchini.

Katibu wa NEC Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla akiwa kwenye studio za UTV Azam Media mwanzoni kwa ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari nchini. #TunaendeleaNaMama #vitendovinasauti
account_circle
Rehema Sombi Omary(@RSrehemasombi) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeungana na viongozi pia wananchi mbalimbali katika Ibada ya mazishi kwenye msiba wa mdogo wa Mjumbe wa baraza Kuu UVCCM Taifa Ndg. Leodger Kachebonaho Marehemu Luppisine Leonard yaliyofanyika nyumbani kwao Kyerwa, Kagera. 'Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea'

CCM Digital(@CCMdigital24) 's Twitter Profile Photo

UJENZI WA CHAMA SHINA NO 5 LA CCM GEITA MJINI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg. Jokate Mwegelo (MNEC) akizungumza na wanachama wa Shina namba 5 la CCM mara baada ya kupandisha Bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Shina Namba 5 la CCM Geita Mjini Mei 4, 2024.

Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

| Kwa niaba ya Uongozi wa CROWN MEDIA tunawapa pole wafiwa na tasnia nzima ya burudani kwa kumpoteza kijana mpambanaji Ndg. Khalfani Khalmandro Muandaaji wa Video za Muziki.

#Tanzia | Kwa niaba ya Uongozi wa CROWN MEDIA tunawapa pole wafiwa na tasnia nzima ya burudani kwa kumpoteza kijana mpambanaji Ndg. Khalfani Khalmandro Muandaaji wa Video za Muziki. #RIPDirectorKhalfani
account_circle
CCM Digital(@CCMdigital24) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO WA HADHARA WA UVCCM SHILABELA GEITA

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Ndg. Abdi Mahmoud akizungumza na maelfu ya Vijana wa CCM waliojitokeza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Umoja wa Vijana wa CCM uliofanyika katika viwanja vya Shilabela mkoani Geita tarehe 4 Mei, 2024.