NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Siku Ya Wahandisi Wanawake:

Wanawake wahandisi wamewaomba washikadau katika taasisi za uhandisi nchini kuwashika mkono ili kusaidia kuongeza idadi ya wanawake katika taaluma ya uhandisi.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

KRA limejitokeza kumdai mshonaji wa nguo katika eneo la Kapenguria malimbikizi ya ushuru wa shilingi milioni 1.74.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Pembe Za Ndovu Zapatikana:

Polisi wamefanikiwa kunasa wawindaji haramu na pembe 12 za ndovu zinazoshukiwa kuuwawa katika maeneo ya Samburu na kufichwa eneo la Churo wakitafutia soko.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Fedha Za Kuwatunza Wazee:

Naibu Rais Rigathi Gachagua anasema kuwa serikali imewachilia KES 16 bilioni, pesa za wanaoishi katika mazingira magumu nchini; kuwakinga kwa hali hii kupitia mpango wa inua jamii.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Siafu Wa KES 300,000 Waibwa:

Watu watatu wameshtakiwa katika mahakama ya uwanja wa ndege ya JKIA kwa kosa la kusafirisha wanyamapori ambao ni siafu bila kibali cha shirika la wanyama pori.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Malala Amkashifu Raila:

Katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala ameusuta mrengo wa azimio akitoa onyo dhidi ya kutokea.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI EZEKIEL Machogu anapendekeza gredi za kujiunga na Chuo Kikuu cha Garissa kushushwa kiasi ili kuwezesha wenyeji zaidi wanaotaka kujiunga na taaluma ya ualimu kupata elimu hiyo.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mgomo Wa Sekta Ya Matatu:

Wahudumu wa matatu watishia kugoma kote nchini iwapo NTSA haitasitisha msako unaondelea barabarani.

Waandai NTSA na polisi wanatumia msako huo kuitisha hongo.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

FAMILIA YA msichana wa kidato cha pili ambaye anadaiwa kunajisiwa kinyume na ripoti ya daktari, sasa imetoa kilio kwa serikali kuingilia kati baaada ya mshukiwa kuachiliwa kwa dhamana.

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Timu Ya Olimpiki Maalum:

Timu ya Kenya iliyowakilisha taifa Ujerumani yapewa makaribisho katika makaazi ya Naibu Rais Rogathi gachagua.

Lofty Matambo Hillary Anekea

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Azimio Ina Mpango Upi?

Raila Odinga anatarajiwa kuongoza mkutano na wafuasi wa chama hicho katika uwanja wa Kamukunji; anatarijiwa kutua nchini kutoka Poland.

Melita Oletenges

account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Chonjo Kwa Siku Ya Kiswahili:

Washikadau na wapenzi wa lugha ya Kiswahili wajitokeza kutangaza makaribisho ya kushereheka siku ya Kiswahili duniani.

Lofty Matambo

account_circle