Mapo(@NhanaPaul) 's Twitter Profile Photo

Inachekesha sana Jinsi Mtu Huyu anavyojiweka Photoshop kwenye Picha tofauti za watu Mashuhuri 😂

Fungua Thread 🧵 👇

1. Na Barack Obama

Inachekesha sana Jinsi Mtu Huyu anavyojiweka Photoshop kwenye Picha tofauti za watu Mashuhuri 😂

Fungua Thread 🧵 👇

1. Na Barack Obama
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ambaye pia ni Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza sherehe hizo za Wafanyakazi…

#PICHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ambaye pia ni Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza sherehe hizo za Wafanyakazi…
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

PICHA YA MWAKA 1948 YA WAASISI YANGA: Mzee Mwinyi Mangala ambaye ni mtoto wa mmoja wa waasisi wa Yanga, Mzee Mtaruke Mangala, ameisimulia picha iliyopigwa mwaka 1948 ikiwaonesha waasisi wa timu hiyo akiwemo Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Aman Karume.

Kupitia picha hii…

account_circle