Hawa 'Umoja Pharmaz' wanafanya poa na hili wazo la 'Mama Delivery Kit'
Alafu vijana tuu...
Ama kweli #PamojaTunaweza #Pharmadawa
We need to join hands and stop grabbing of this community land for the sake of our children.
#pamojatunaweza
#stopgrabbingburuland
Kutoka Dar es Salaam hadi Butiama kwa Baiskeli, Kilometa 1552, wilaya 24, mikoa 10 mashujaa walioamua kumuenzi Hayati Baba wa Taifa kwa vitendo wamehitimisha safari hii ya adhimu leo tarehe 14 Oktoba 2023.
#TwendeButiama23 #PamojaTunaweza
Happy Independence Day, Tanzania! 🇹🇿 Today, we celebrate the strength and resilience of the Tanzanian spirit. 💪🏻
KOY Network is proud to stand with Tanzania as we work towards a brighter, digitally empowered future. #Tanzania independenceday #PamojaTunaweza #Tanzania
#KoyNetwork …
Little is much. These kids require your help to acquire beddings. It will surely make a difference. #littleismuch
#charity
#Healtheworld
#pamojatunaweza
#lazamtotochallenge
All Kabati Youth Fc Fans are cordially invited to an important meeting tomorrow 3rd April 2024. We will be gathering at the Shuhan Hotel (Uhuru Hall) tomorrow at 6pm. See you there.
#MunguMbele #pamojatunaweza #KYFC #FootballKE
Chose promise,chose faite✌️c’est officiel ,nous avons déposé notre candidature à la députation provinciale pour représenter la ville de Goma aux élections prévues pour décembre 2023.
Merci beaucoup à tous pour votre accompagnement .✊🏼
#Pamojatunaweza
#AREP
#election2023
From a miltary education background we were grommed to be resilient, focussed, disciplined and hardworking citizens...
Drop your favourite army school or one that you attended with memories....
#PamojaTunaweza
#TwendeButiama23 msafara huu umejikita katika kuendeleza umoja, elimu, utalii na mazingira yetu kuwa yenye ubora zaidi.
Unaweza kushiriki safari ya kumuenzi baba wa taifa kwa kuchangia madawati kupitia lipa namba 5483454. Unachangia kiasi chochote ulichonacho
#PamojaTunaweza
Baada ya mapumziko ya jana Dodoma, leo Safari yetu Inaendelea kuelekea kituo kinachofuata Singida.
Shukrani za dhati kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na mwenyeji wetu Bi. Rosemary Senyamule kwa kushiriki nasi kwenye halfa ya kuagana hapa Dodoma.
#PamojaTunaweza #TwendeButiama23
Msafara umefika Shinyanga Tayari now tunaitafuta Mwanza
Endelea kua sehemu ya Twende Butiama 2023 kwa kuchangia Madawati au Miti kwenda Lipa Namba: 5483454 ~ Twende Butiama Bicycle Club.
#TwendeButiama23 #PamojaTunaweza
Baada ya mapumziko ya jana Dodoma, leo Safari yetu Inaendelea kuelekea kituo kinachofuata Singida.
Shukrani za dhati kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na mwenyeji wetu Bi. Rosemary Senyamule kwa kushiriki nasi kwenye halfa ya kuagana hapa Dodoma.
#PamojaTunaweza #TwendeButiama23
“Kwa upande wa afya, tumeendesha kambi ya matibabu ya bure kwa kushirikiana na madaktari wa Afya Check ambapo zaidi ya wakazi takribani 2,000 wa maeneo ya Mwanza na Bunda walinufaika” - Ndg. Athumani Mlinga (Mkurugenzi Tehama, Vodacom Tanzania) #TwendeButiama23 #PamojaTunaweza
Safari ya Butiama Bado inaendeleaaa Usiache kuwa mmoja wa mafanikio haya unaweza
Kuendelea kua sehemu ya #TwendeButiama23 kwa kuchangia Madawati au Miti kwenda Lipa Namba: 5483454 ~ Twende Butiama Bicycle Club. #PamojaTunaweza
Baada ya mapumziko ya siku ya jana hapa Dodoma, kituo kinachofuata ni Singida.
Shukrani za dhati kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na mwenyeji wetu Bi. Rosemary Senyamule kwa kushiriki nasi kwenye halfa ya kuagana hapa Dodoma.
#PamojaTunaweza #TwendeButiama23
Siku ya jana, ulikuwa wakati mzuri pale tulipojumuika na watendaji kutoka vitengo vya Mauzo kutoka Dar es Salaam na Pwani, walipongezwa na kukabidhiwa zawadi kufuatia utendaji wao bora kwa kipindi cha mwaka 2023.
Ilikuwa ni mwendo wa good-vibes, shangwe kama lote #PamojaTunaweza