Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Semaji Ahmed Ally akizungumzia kuondoka kwa Kocha Benchikha na ujio wa Kocha Juma Mgunda kukiongoza kikosi.

Video kamili ingia YouTube - Simba SC Tanzania.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kocha Abdelhak Benchikha akizungumzia maisha yake ndani ya Simba, sababu ya kuomba kuondoka na neno lake la mwisho kwa Wanasimba.

Video kamili YouTube - Simba SC Tanzania.

account_circle
Simba SC Fan Page🦁(@SimbaSCFansPage) 's Twitter Profile Photo

MTOTO KAPEWA MAELEZO NA BABA NA KAYATEKELEZA VIZURI πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

Salehe Karabaka
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

MTOTO KAPEWA MAELEZO NA BABA NA KAYATEKELEZA VIZURI πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

Salehe Karabaka 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

β€˜Refa kama Refa’.

Ni mwamuzi msaidizi Fatma Mambo kutoka Iringa, akiwa makini kazini.

Bila shaka umemuelewa...au siyo???

FT: Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar

Updates …

account_circle
Askofu Emmaus B Mwamakula(@EmmausAskofu) 's Twitter Profile Photo

Kuifunga Simba SC sio kigezo cha kupanda kwa kiwango. Kiwango cha kupanda kwa soka hakipimwi kwa kushinda mechi zote za Uwanja wa Mkapa, bali hupimwa kwa timu kuonyesha kandanda safi inapominyana na timu za kutoka mataifa ya nje. Wapeni habari hii wale 'Wafipa'!

Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Eng. Hersi Said - Kiongozi Yanga Sc
Murtaza Mangungu - Kiongozi Simba Sc
Yusuf Bakhresa - Kiongozi Azam Fc

Ni nani utendaji wake unakukosha unatamani angekuwa kiongozi kwenye timu yako pendwa, tuambie kupitia comment yako hapo chini πŸ‘‡πŸΌ

✍🏽 πΏπ“Šπ“π“Š

✍🏽 @bintiiringo

#WasafiSports
account_circle
Prisca Kishamba(@PKishamba) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Mnyama Simba Sc kuchukua kombe la Muungano Cup 2024 kwa kumchapa Azam Fc goli 1-0

Mwenyekiti wa klabu ya Soka ya Simba Sc Club Murtaza Mangungu, amefunguka mengi baada ya klabu yake kutwaa ubingwa huo

Mangungu amesema kuwa wao kazi yao kama Simba Sc ni kushiriki…

account_circle
Prisca Kishamba(@PKishamba) 's Twitter Profile Photo

Usimdharau mtu ndiyo ujumbe tunaoupata kupitia Dokta Mohamed Hamis shabiki wa Simba SC akisema ni juzi tu walikuwa wakikaa jukwaa moja uwanjani na Injinia Hersi ambaye Kwa sasa ni Rais wa klabu ya Yanga

Kuhusu mchezaji wa Yanga Pacome Dokta Mo amesema huyo ndiyo kasababisha…

account_circle