Getting ready to come home to this big responsibility my party has entrusted to my hands, so help me God ๐. #thefutureispurple #Mwenezi #Soteniwashindi
#Taifalawote #Maslaiyawote
#Zanzibarmpya #Zanzibarmoja #Mamlakakamili
Good Evening,
Get the best deals hapa Bangbet when you join via Bangbet.com
Promocode๐ JUG254
To Get a free bet Daily
#SoteNiWashindi
VIONGOZI ACT WAZALENDO WAPOKELEWA KWA KISHINDO UNGUJA
Mapokezi ya Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wakiongozwa na Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Semu na Mwenyekiti wa Chama Othman Masoud Othman yamefanyika Unguja, Zanzibar leo tarehe 9 Machi 2024. #SoteNiWashindi
Ndugu Joran Bashange ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa na Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Semu na kuidhinishwa na Halmashauri Kuu ya Chama Taifa. #SoteNiWashindi
Wangwan wadau,
Kuna great deals hapa @BangbetKE ukijoin Unapata free bet na kujijenga na Aviator
Join va Bangbet.com ๐ฏ
#SoteNiWashindi
Unbelievable deals are always at @BangbetKE
Every day, you get a First Bet gift
Don't miss out, sign up through Bangbet.com using the PROMOCODE: KAT254
#SoteNiWashindi
Am so proud being ACTWazalendo member and witness its growth . #NationalCongress2024
#TaifalaWote #MaslahiYaWote
#SoteNiWashindi
Hello,
Join Bangbet today via Bangbet.com
๐To get Sure Odds
๐Daily free bets
๐Fastest payouts
Use promocode:๐ JUG254
โ
๏ธTo get Daily free bets
Aviator and 15M Jackpot ๐ค
#SoteNiWashindi
Join @BangbetKE Asap and get to enjoy a gift on your First Bet ๐ฅ
Register via; Bangbet.com and use my Promocode: MOR254
#SoteNiWashindi
Nawashukuru wanachama na viongozi wa ACT Wazalendo lindi mliojitokeza kwa wingi kunipokea. Mmenipa nguvu ya kutimiza wajibu wangu kama makamu mwenyekiti Tanzania Bara. Kwa pamoja tutajenga chama imara. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #SoteNiWashindi
Ndugu KMchuchuli ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACTWazalendo. Uteuzi huo umefanywa na Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Semu na kuidhinishwa na Halmashauri Kuu ya Chama Taifa.
#SoteNiWashindi
DAKIKA TANO ZA BABU DUNI PEMBA!
Sikiliza dakika tano za hotuba ya Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo Ndugu Juma Duni Haji aliyoitoa Pemba tarehe 10 Machi 2024. #SoteNiWashindi
Mapokezi ya Viongozi wapya wa ACT Wazalendo yaliyoanzia bandari ya Malindi, Unguja, Zanzibar na kisha viongozi hao kutembea kwa miguu hadi Ofisi za Chama, Vuga, Zanzibar.
#Tunakuja
#Jiandaeni
#Tumeamua
#Tumedhamiria
#SoteNiWashindi ๐
Ndugu mansoor himid ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACTWazalendo. Uteuzi huo umefanywa na Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Semu na kuidhinishwa na Halmashauri Kuu ya Chama Taifa.
#SoteNiWashindi
Sekretarieti ya Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo iliyoteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Taifa. Wanawake 9 (60%) na Wanaume 6 (40%). #SoteNiWashindi
Ndugu Mwanaisha Mndeme ameteuliwa kuwa Katibu wa Mambo ya Nje wa ACTWazalendo; na Dr. Nasra Nassor Omar naibu wake.
#SoteNiWashindi
Happy International Woman's Day!
To all the incredible Women.๐ฅ
You are valued.๐ฏ
Sote ni Washindi!๐ช๐ฝ
Use code STS001 to register and get a discount
#bangbet #soteniwashindi #happyinternationalwomansday