Mabibi na Mabwana, kwa heshima na taadhima tumpe maua yake Captain wa benki yetu ya TCB. Adam Mihayo, akiwa anatoboa na Kikoba 🕺🏽💪🏽
#ToboaNaKikoba
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
Utepe umekatwa! Safari ya kutoboa na Kikoba imeanza rasmi! Sajili Kikoba, jiunge na Kikoba kwa simu yako ya mkononi tena ukiwa katika mtandao wako pendwa. Au piga *150*21# kupata vikoba vyote.
#ToboaNaKikoba
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
Usikae mbali na redio kwa sababu tunazidi kukuelimisha kuhusu huduma ya kikoba kutoka #TCBBank ni muda wako wa kutoboa. Karibu katika maisha ya kidijitali.
#toboanakikoba
#benkiinayomuelewamtanzania
Mtu wa maana kabisa kutoka TCB Benki atakuwa ndani ya Amplifaya ya Clouds FM akiikamilisha jioni yako tulivu kwa kukupa madini kuhusu mchongo mpya town wa Kikoba. Usizime redio yako!
#ToboaNaKikoba
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
Tulisema ukae karibu na ukurasa huu maana mambo yanaendelea kunoga. 😊😊
Sasa umekuwa mtu wa maana kwa kua karibu nasi, maana kama wewe ni mteja wa Vodacom, basi kufungua Kikoba kwenye M-Koba ni rahisi sana.
#ToboaNaKikoba
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
REMINDER: Join our webinar to see how financial incentives help local banks support agripreneurs! 🌾 Featuring experts from Aceli Africa, Family Bank Limited, Tanzania Commercial Bank, Centenary Bank.
Co-hosted with Aceli Africa and Marketlinks.
👉 Register now: safinetwork.org/safin_events/n…
Wanasema
“UKIONA VYAELEA UJUE VIMEUNDWA”🤩🤩
Tunaendelea kuunda mambo mazuri yanayozidi kurahisisha maisha yako. Kama wewe ni mteja wa Halotel sasa unaweza kusajili kikoba chako kupitia simu.
#ToboaNaKikoba
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
Kwa nini serikali isingetoa mikopo hii kupitia benki inayomiliki asilimia mia? Tanzania Commercial Bank
Au ndio diversification of risk?
Tanzania Commercial Bank Nisaidieni namna ya kufungua Akaunti hapa kwenu, mmemfunga Dm🤷♂️ Tanzania Commercial Bank
Tanzania Commercial Bank Asiye mteja wa tigo anaweza kuchangia kikoba kupitia mtandao mwingine!!
Tanzania Commercial Bank Tanzania Commercial Bank heshima yako Hr . Naomba kazi hata kwenye matawi yenu hapa Dar
nina degree ya uhasibu
asante!