Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam

VIDEO :

WAZIRI BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI - DAR ES SALAAM

📹:W/Ujenzi

account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda ametembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi inayojengwa Msalato Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda ametembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi inayojengwa Msalato Jijini Dodoma.
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Hivi ulikwishawahi uliza swali la namna hii na ukakosa majibu ya swali lako? kama ndivyo twende sawa.

Shuka nayo.. 👇

#UJENZI: Hivi ulikwishawahi uliza swali la namna hii na ukakosa majibu ya swali lako? kama ndivyo twende sawa.

Shuka nayo.. 👇
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amefanya ziara wilaya ya Kigamboni ambako barabara ya Mwasonga-Kibada imesombwa na maji na kuharibika, hali iliyopelekea wavukaji na magari kupata shida kupita eneo hilo licha ya ujenzi kuanza katika eneo hilo.…

account_circle
Lil_Dee😅(@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

Jose ni fundi ujenzi aliyekuwa anafahamika sana, kwenye mitaa ya vingunguti.

Siku moja Jose aliitiwa kazi ya kukarabati sakafu na kuweka zulia, kwenye nyumba ya Bi Hanifa.

Jose alipanda baiskeli yake na kuelekea moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Bi Hanifa.

Baada ya kufika Jose,…

Jose ni fundi ujenzi aliyekuwa anafahamika sana, kwenye mitaa ya vingunguti.

Siku moja Jose aliitiwa kazi ya kukarabati sakafu na kuweka zulia, kwenye nyumba ya Bi Hanifa.

Jose alipanda baiskeli yake na kuelekea moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Bi Hanifa.

Baada ya kufika Jose,…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetenga shilingi bilioni 19.7 kwa ajili ya ukarabati wa ujenzi wa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, ukarabati ambao umetajwa kukamilika ndani ya miezi sita hadi 12.

Ukarabati huo unafanywa na mkandarasi wa Kampuni ya Railway Construction Engineering Group…

#MICHEZO Serikali imetenga shilingi bilioni 19.7 kwa ajili ya ukarabati wa ujenzi wa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, ukarabati ambao umetajwa kukamilika ndani ya miezi sita hadi 12.

Ukarabati huo unafanywa na mkandarasi  wa Kampuni ya Railway Construction Engineering Group…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi…

account_circle
𝙊𝘿𝘿𝙎𝘾𝙃𝘼𝙍𝙄𝙏𝙔 🇹🇿(@OddsCharity) 's Twitter Profile Photo

msiogope hizo game mbili zot zimetoa wakuuu poshoo leoo ndo nazingatia sana
namba hiii +255752297191
jina luka tuma muamal usilete maneno nina ujenzi kibiti .

msiogope hizo game mbili zot zimetoa wakuuu poshoo leoo ndo nazingatia sana 
namba hiii +255752297191
jina luka tuma muamal usilete maneno nina ujenzi kibiti .
account_circle
Wizara ya Ujenzi(@WizarayaUJ) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa Wizara ya Ujenzi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniana Leo Mei mosi 2024 Jijini Dodoma.

Watumishi wa Wizara ya Ujenzi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniana Leo Mei mosi 2024 Jijini Dodoma.
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Arusha

▪️MICHEZO IPEWE KIPAUMBELE KWA WATUMISHI WA WIZARA NA TAASISI: BASHUNGWA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, kuhakikisha anawezesha Watumishi wa Wizara na Taasisi zake kushiriki kikamilifu…

Jizzle(@Jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Serikali fanyeni kila namna mmalizie huu ujenzi kuanzia Kimara hadi Kibaha, hakuna vituo vya abiria mvua ni yetu na jua ni letu mnatutesa abiria mfano mvua ikukuta kituo cha Temboni au kwa Msuguri hauna pakwenda maana umbali wa makazi ya watu ni mita 100+

Matayo Zebedayo(@MatayoZebedayo) 's Twitter Profile Photo

📌Hospitali ya Mkoa Simiyu

Katika mwaka wa fedha 2023/2024 Serikali imetenga kiasi cha Tsh Bilioni 2,000,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la wodi za kulaza wagonjwa na ujenzi huo unatarajiwa kuanza mwezi Juni, 2024.

anaboresha huduma za afya.

📌Hospitali ya Mkoa Simiyu

Katika mwaka wa fedha 2023/2024 Serikali imetenga kiasi cha Tsh Bilioni 2,000,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la wodi za kulaza wagonjwa na ujenzi huo unatarajiwa kuanza mwezi Juni, 2024.

#MamaYukoKazini anaboresha huduma za afya.
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Katika jitihada za kuendelea kukuza sekta ya utalii nchini Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hoteli kubwa ya kisasa ya nyota 3 inayojengwa wilayani Chato mkoani Geita lengo likiwa ni kuwapunguzia adha ya huduma watalii wanaofika katika ukanda huo.…

Happie💕(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa maji wa Rumakali ambao unahusisha ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa MW 222 kwa kutumia maji ya Mto Rumakali mkoani Njombe unaendelea.

Utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa maji wa Rumakali ambao unahusisha ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa MW 222 kwa kutumia maji ya Mto Rumakali mkoani Njombe unaendelea. #MamaYukoKazini
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Kigamboni,Dar es Salaam

VIDEO:

WAZIRI BASHUNGWA AWAONDOA WATENDAJI WA TEMESA KIVUKONI DAR KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO.

📹:W/Ujenzi

account_circle
Mama Anafanikisha(@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Muonekano wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

watumishi wa umma kuishi katika mazingira bora na salama.

Muonekano wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

#MamaAnafanikisha watumishi wa umma kuishi katika mazingira bora na salama.
account_circle