KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Mtandao ulianza na mashirika 10 wanachama yaani TRI, DMI, ROME CENTRE, ACHA, SAHRINGON, TAWOJAC, NDT, CHAKUA, WEEDO, DWI, TCLC. Kufikia mwezi June 2023 tulikuwa na wanachama hai 105.

-Edwim Magambila-

#EndHumanTrafficking 
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Kampeni ya sahihi imefanyika mikoa 13 lengo lake kupata sahihi 5000 lakini tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na visiwani waliokubaliana kupinga biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu'

Vee Kimwanya(@VeronicaEvord1) 's Twitter Profile Photo

TANAHUT ni mtandao wenye mashirika wanachama 105 kutoka mikoa mbalimbali. Yakiwemo NGOs, CBOs,Taasisi za dini,watoa huduma kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu,Taasisi za elimu ya juu na mashirika ya Habari.~EDWIN MUGAMBILA

TANAHUT ni mtandao wenye mashirika  wanachama 105 kutoka mikoa mbalimbali. Yakiwemo NGOs, CBOs,Taasisi za dini,watoa huduma kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu,Taasisi za elimu ya juu na mashirika ya Habari.~EDWIN MUGAMBILA
#EndHumanTrafficking 
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

TANAHUT ni mtandao wenye mashirika wanachama 105 kutoka mikoa mbalimbali. Yakiwemo NGOs CBOs,Taasisi za dini,watoa huduma kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu,Taasisi za elimu ya juu na mashirika ya Habari'

~Ewdwin Mugambila

Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mtandao kupambana na usafirishaji haramu unatoa pongezi nyingi sana kwa Serikali ya awamu ya sita kwa kuonesha kwa vitendo kuwa Usafirishaji haramu wa binadamu haukubaliki.

Mtandao kupambana na usafirishaji haramu unatoa pongezi nyingi sana kwa Serikali ya awamu ya sita kwa kuonesha kwa vitendo kuwa Usafirishaji haramu wa binadamu haukubaliki. #MamaYukoKazini #EndHumanTrafficking #UtuWanguHakiYangu
account_circle
TANAHUT(@Tanahut1) 's Twitter Profile Photo

Shirika la TATLI ambalo ni mwanachama wa TANAHUT limeendelea kutoa elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa shule ya Sekondari Karibuni iliyoko wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Watoto zaidi ya 1500 wamefikiwa na elimu hii.

Shirika la TATLI ambalo ni mwanachama wa TANAHUT limeendelea kutoa elimu  ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa shule ya Sekondari Karibuni iliyoko wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Watoto zaidi ya 1500 wamefikiwa na elimu hii.
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa TANAHUT ni mtandao wenye mashirika wanachama 105 kutoka mikoa mbalimbali nchini. Mashirika haya in Pamoja na NGOs, CBOs, Taasis za dini, watoa huduma kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu,- Edwin Mugambila

TANAHUT

@Tanahut1 

#EndHumanTrafficking 
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Tanzaniarelief kwa ufadhili wa HSF na Ubalozi wa Canada
tumeshirikiana na ATS kufanya mafunzo kwa wasimamizi wa sheria
katika mikoa kadhaa ikiwemo DSM, ARUSHA...'Edwin Mugambila- Mkurugenzi Mtendaji- TRI
l

Shirika la @tanzaniarelief2 kwa ufadhili wa HSF na Ubalozi wa Canada 
tumeshirikiana na ATS kufanya mafunzo kwa wasimamizi wa sheria 
katika mikoa kadhaa ikiwemo DSM, ARUSHA...'Edwin Mugambila- Mkurugenzi Mtendaji- TRI
#EndHumanTrafficking l #UtuWanguHakiYangu
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

'Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar...' Sista Fatma _DMI
l

'Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni   ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara  na Zanzibar...' Sista Fatma _DMI
#EndHumanTrafficking l #UtuWanguHakiYangu
account_circle
Man Like Suleโ„ข(@Maichagange) 's Twitter Profile Photo

'Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar waliokubaliana

'Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni   ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar waliokubaliana 
#EndHumanTrafficking 
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

'Dhumuni kubwa la mashirika haya kuungana na kutengeneza mtandao wa kitaifa ni kuunganisha nguvu ya pamoja kuhakikisha kuwa mtandao unakuwa jukwaa la kubadilishana uzoefu, kutoa mafunzo, kukusanya taarifa (data) na kuhamasisha umma juu โคต๏ธ

'Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar

'TANAHUT ni mtandao wenye mashirika wanachama 105 kutoka mikoa mbalimbali. Yakiwemo NGOs CBOs,Taasisi za dini,watoa huduma kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu,Taasisi za elimu ya juu na mashirika ya Habari'

'Ndugu ama wazazi wamekua wakihusika katika biashara hii ya usafirishaji haramu wa binadamu, kwa kuwalazimisha watoto wao kwenda kutafuta kipato mahala pasipo rasmi, hii ni kutokana na tatizo la umaskini katika familia nyingi'

Happie๐Ÿ’•(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Tumeshuhudia marekebisho ya sheria mara mbili mfululizo ambayo yamekuwa ni hatua muhimu na sahihi sana katika kuimarisha mapambano dhidi ya TIP. Kuondolewa kwa fine kama mbadala wa kifungo jera na kuongeza adhabu ni hatua muhimu sana.

Dhumuni kubwa la mashirika haya kutengeneza mtandao wa kitaifa ni kuunganisha nguvu ya pamoja kuhakikisha mtandao unakuwa jukwaa la kubadilishana uzoefu, kutoa mafunzo, kukusanya data na kuhamasisha umma juu ya madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu.~Edwin

Dhumuni kubwa la mashirika haya kutengeneza mtandao wa kitaifa ni kuunganisha nguvu ya pamoja kuhakikisha mtandao unakuwa jukwaa la kubadilishana uzoefu, kutoa mafunzo, kukusanya data na kuhamasisha umma juu ya madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu.~Edwin
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

'Serikali ya awamu ya 6 inatambua michango ambayo imekua ikitolewa na mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wadau wengine katika kupambana na biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini'

'Serikali ya awamu ya 6 inatambua michango ambayo imekua ikitolewa na mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wadau wengine katika kupambana na biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini' #EndHumanTrafficking 
#UtuWanguHakiYangu
account_circle
Vee Kimwanya(@VeronicaEvord1) 's Twitter Profile Photo

Leo ndio siku muhimu ya uzinduzi wa mtandao wa kitaifa wa kupinga biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu

Uzinduzi huo utafanyika Ramada Usikose kufatilia kwa kupitia TANAHUT

Leo ndio siku muhimu ya uzinduzi wa mtandao wa kitaifa wa kupinga biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu

Uzinduzi huo utafanyika Ramada Usikose kufatilia kwa kupitia @Tanahut1
#EndHumanTrafficking 
#UtuWanguHakiYangu
account_circle