WasafiTv(@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

Somewhere In Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

HII STYLE INAITWAJE ETI โ‰๏ธ๐Ÿคฃ

๐ŸŽฅ: @z_kelly45

๐ŸŽถ: SIMBA..!๐Ÿฆ ๐Ÿฆ X @khalilharison ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ X @chley_nkosi ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ - KOMASAVA

account_circle
Erikaqueendom ๐Ÿ‘‘๐Ÿ’—๐Ÿ’Ž Luxury Licensed RealEstateMgr(@Erikaqueenflow) 's Twitter Profile Photo

โค๏ธ๐ŸŽตThey did it the best to me ! I watch this so many times . I love the when they do it fast then slow Jason Derulo and Les Twins jump on the
lestwinson lestwinsoff
officiallestwins

account_circle
mimilicious๐ŸŒน๐Ÿ’(@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Wasanii Ali Kiba, Tommy Flavor , Maua Sama na Marafiki wengine wa Samia wametoa sadaka kwa kufuturu na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha IJANGO ZAIDI ORPHANAGE CENTRE kilichopo Sinza jijini Dar-es-saalam

#FriendofSamia
#WasafiDigital
account_circle
Baraka Don(@Barakadon_) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania.

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Mohamed alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundishaji, Mafunzo na Mitihani Chuo Kikuu Huria.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania. 

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Mohamed alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundishaji, Mafunzo na Mitihani Chuo Kikuu Huria.

#WasafiDigital
account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Ally Haji kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Ally Haji kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ). 

#WasafiDigital
account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 , leo tarehe 9 Mei, 2024.

Waziri wa Maji  Mhe. Jumaa Aweso akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 , leo tarehe 9 Mei, 2024.

#WasafiDigital
account_circle
Diamond Platnumz Family(@DPlatnumzFamily) 's Twitter Profile Photo

JE, Kwa Mawe Yanayoshushwa Saizi Katika Game Ya Bongo Fleva Ni Kweli Imechangamka Au Haijachangamka ? ๐Ÿ˜€

Kuwa Mkweli Tu Hapa ๐Ÿ‘‡

โœ:@officialtriggah_

JE, Kwa Mawe Yanayoshushwa Saizi Katika Game Ya Bongo Fleva Ni Kweli Imechangamka Au Haijachangamka ? ๐Ÿ˜€

Kuwa Mkweli Tu Hapa ๐Ÿ‘‡

โœ:@officialtriggah_ 

#AfricaIsWatching #WasafiDigital
account_circle
asande_fashion(@AsandeFashion) 's Twitter Profile Photo

Follow @asande_fashion Our new dress collection is a fashion lover's dream come true. Tunapatikana Mbeya- Mwanjelwa, Nairobi Street Simu/WHATSAPP +255 759 332 808MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU

Follow @asande_fashion  Our new dress collection is a fashion lover's dream come true. Tunapatikana Mbeya- Mwanjelwa, Nairobi Street Simu/WHATSAPP +255 759 332 808MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU #WasafiDigital
account_circle