5 people(@5peopleke) 's Twitter Profile Photo

Sh. 144 Million cannot be accounted for under the dishi na county programme. On the launch, sakaja literally cried, he couldn't believe so much money would eventually get into his pocketsπŸ’€πŸ’€πŸ€£πŸ€£ Ama mnadhani alilia juu yenu na watoto wenu?🀑🀑

account_circle
Lord Trevy 🍁(@TrevyLord) 's Twitter Profile Photo

Barua toka kwa Jaramogi na Kenyatta,
Wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na Disaster
Watoto wetu wanazidi kuzikana...

Barua toka kwa Jaramogi na Kenyatta,
Wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na Disaster 
Watoto wetu wanazidi kuzikana...
account_circle
Tu Sh(@Tu_Sh12) 's Twitter Profile Photo

Hii Ni Quarry iko almost 200 metres deep, iko located at Kware Ward in Embakasi south. Water levels iko 130% full maji ishaanza kujipasulia njia. 20 metres from hii quarry kuna public school inaitwa Kware Primary na Down Stream Primary/Secondary School na watoto wanarudi date 6.

account_circle
Bixen(@heisbixen) 's Twitter Profile Photo

Kaseja hazeeki, nimeanza kumsikia tangu niko chekechea mpaka leo nina watoto watatu bado yumo tu na mampira πŸ˜‚

Kaseja hazeeki, nimeanza kumsikia tangu niko chekechea mpaka leo nina watoto watatu bado yumo tu na mampira πŸ˜‚
account_circle
Jacqueline Asiimwe(@asiimwe4justice) 's Twitter Profile Photo

Today we were honored to interview Pastor Gary and Marilyn Skinner for the Foot Prints podcast. With over 40 years of pastoral experience, they shared their journey of building and pastoring Watoto Church (formerly Kampala Pentecostal Church).

Marilyn's musical talent was…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

WAGONJWA WA MIFUPA WAONGEZEKA/WATOTO WATAJWA KUATHIRIKA

Asilimia 50 ya wagonjwa wa mifupa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kitengo cha mifupa MOI wametokana na ajali za bodaboda ambapo mbali na madereva wa hao wapo pia watoto wenye matatizo ya mifupa ikiwemo matege na…

account_circle
The Eastleigh Voice(@Eastleighvoice) 's Twitter Profile Photo

'Tunaomba serekali ituongezee siku kadhaa... Tutapeleka watoto wetu wapi?' A Mathare North resident pleads for alternative houses as demolition commences

account_circle
Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profile Photo

Malezi na Afya ya akili

Mwezi wa afya ya akili tunajifunza namna ya kuwaandaa watoto kuwa wastahimilivu na kutatua changamoto za afya ya akili

Malezi na Afya ya akili 

Mwezi wa afya ya akili tunajifunza namna ya kuwaandaa watoto kuwa wastahimilivu na kutatua changamoto za afya ya akili #ElimikaWikiendi
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Maneno ya kitoto kwa watoto ni utani tu, lakini maneno ya kitoto kuwaambia watu wazima ni upumbavu, hatutaki
kudanganywa.

Maneno ya kitoto kwa watoto ni utani tu, lakini maneno ya kitoto kuwaambia watu wazima ni upumbavu, hatutaki
kudanganywa.
account_circle
SIR JEFFβš‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@Sirjeff_D) 's Twitter Profile Photo

Nikisemaga Arusha imejaa mapimbi na mazoba, naishia kutukanwa. Ona sasa huu upumbavu gani watu wazima wanafanya.m?

Ushamba km huu kwa Dar utakuta ni watoto wadogo tu ndio wanafanya

Nikisemaga Arusha imejaa mapimbi na mazoba, naishia kutukanwa. Ona sasa huu upumbavu gani watu wazima wanafanya.m?

Ushamba km huu kwa Dar utakuta ni watoto wadogo tu ndio wanafanya
account_circle
Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Malezi na afya ya akili

Wazazi wanawasaidia vipi watoto kuwa wastahimilivu na kukabiliana na baadhi ya changamoto zinazoathiri afya ya akili

Malezi na afya ya akili

Wazazi wanawasaidia vipi watoto kuwa wastahimilivu na kukabiliana na baadhi ya changamoto zinazoathiri afya ya akili 

#ElimikaWikiendi
account_circle
Alexander(@AlesandroJR) 's Twitter Profile Photo

Mwezi wa MAY na OKTOBA ni miezi ya kusali Rozari. Mwezi wa tano ndio tokeo la kwanza la Fatima kwa watoto watatu Lusia, Francis na Hyasinta na tokeo la mwisho ni Oktoba. Tunaalikwa kusali Rozari Takatifu ya Fatima kila siku katika mwezi huu. Salamu Maria. Ave MariaπŸ™

Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Taasisi ya GH Foundation imemsaidia Judith Rugamba nyumba baada ya familia ya aliyekuwa mume wake (Kwa sasa ni marehemu) kumtelekeza na watoto watano tegemezi ambapo ilimlazimu kuishi kiholela kituo cha basi cha zamani Ubungo.

Akizungumza na waandishi wa habari…

account_circle