Sekta ya usafiri haikuunga mkono wananchi wakati wananchi wanapinga mkataba wa bandari, leo hii wanaambiwa wachague ajira kati ya TPA na DP World. — Peter Madeleka #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3w4yDho

Sekta ya usafiri haikuunga mkono wananchi wakati wananchi wanapinga mkataba wa bandari, leo hii wanaambiwa wachague ajira kati ya TPA na DP World. — Peter Madeleka #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/IhN0J89vm…
Hivi kama mimi najipambania mwenyewe kimaisha yangu Sina ajira serekalini,Nakula navaa,Matibabu na kadhalika #Naanzaje kumuogopa kiongozi ambae kodi yangu ndio inamfanya aishi vzr na familia yake kwakila kitu?
#KatibaMpyaNisasa
#TunahitajiKatibaMpya .
Mafanikio ya #DiraYaSamia yanaendelea kuonekana, kuongezeka kwa miradi iliyosajiliwa kupitia kituo cha uwekezaji (TIC), Ongezeko la idadi za ajira zilizotokana na ongezeko la uwekezaji.
1/2
Jumuiya ya SADC, imekua ikitoa nafasi kwa Vijana kushiriki katika fursa mbalimbali kama Deligation za Uchaguzi, Ajira na Mazingira wezeshi japo sio kwa kiwango kinachoridhisha. ~ 𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 𝐉𝐔𝐌𝐀 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔
#CharterProjectAfrica | #KanuniZaSADC
AJIRA ZA WAALIMU ZAIDI YA 10,000 elfu
Ndani ya #MiakaMitatuYaMama ameajiri walimu 10,853 wa masomo ya sayansi na hisabati.
𝐌𝐀𝐌𝐀 anaipatia jawabu moja ya changamoto inayokwamisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi
#MamaYukoKazini
Kuelekea Uzinduzi wa wiki ya ACTWazalendo Timu ya hamasa ikiongozwa na shangwe Ayo Naibu Katibu Mwenezi Taifa akiambatana na Anthony ISHIKA Mghamba 🇹🇿 N/waziri kivuli wa Maliasili na Utalii na Ndolezi Waziri kivuli wa Ajira kazi na vijana leo wakiwa Jimbo la Siha.
#TukutaneMoshi
𝟒𝐑 - 𝐊𝐔𝐉𝐄𝐍𝐆𝐀 𝐔𝐏𝐘𝐀 (𝐑𝐄𝐁𝐔𝐈𝐋𝐃𝐈𝐍𝐆)
Barabara bora ni moja ya njia za kujenga uchumi imara utakaoongeza ajira kwa vijana, na kufungua fursa kwa makundi yote ya kijamii.