shebby nakamu(@shabirnakamu) 's Twitter Profile Photo

Nazidi kujifunza..

lakini itoshe kusema mchezo wa PESA ni mchafu vibaya mno..not for the weak people.

Ushauri tu..

Usifanye kosa la kuhangaika kutafuta PESA kabla ya kujifunza elimu yenyewe ya PESA..

La sivyo utakuta unatafutia watu pesa bila wewe mwenyewe kujua kwasababu..👇🏾

account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo akiwa Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe kuona maendeleo ya utoaji Elimu na utekelezaji wa Mitaala iliyoboreshwa.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo yupo katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga katika ziara Chuo cha Ualimu Korogwe na Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe.

Women and Technology Tanzania(@TechWomenTZ) 's Twitter Profile Photo

Muamko wa wanawake katika sekta ya ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya kijamii

Kwa kuwekeza katika elimu, kuboresha mazingira ya kazi, na kuhamasisha uwakilishi wa wanawake katika teknolojia, jamii itafaidika na mawazo mapya!

Muamko wa wanawake katika sekta ya #TEHAMA ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya kijamii

Kwa kuwekeza katika elimu, kuboresha mazingira ya kazi, na kuhamasisha uwakilishi wa wanawake katika teknolojia, jamii itafaidika na mawazo mapya!
#WanawakeNaDijitali #SheTechTZ #TechWomenTZ
account_circle
Wananchi Tv(@wananchitv) 's Twitter Profile Photo

TRA ni taasisi ya kwanza ya serikali kutambua umuhimu wa Digital platform hali iliyopelekea kuona umuhimu wa kutoa elimu kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii juu ya kuandika habari za maswala ya kodi kwa weledi.
'Nitoe wito kwa taasisi zingine kutambua mbua umuhimu wa

Femina Hip(@FeminaHip) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya wadau waliobahatika kutembelea banda letu siku ya jana kwenye maadhimisho ya hedhi salama yaliyofanyika mkoa wa Arusha.

Lengo ni kuwapatia elimu kuhusu Afya ya Hedhi salama.

#feminahip #redagenda #mhm2024
account_circle
Sasa Kazi(@sasa_kazi) 's Twitter Profile Photo

Businesses no longer hustle for that one professional to bring tech impact, Sasakazi does it for them.

Watch: Angaza Elimu CEO speak volume on the tech talent matched with !

Businesses no longer  hustle for that one professional to bring tech impact, Sasakazi does it for them.

Watch: Angaza Elimu CEO speak volume on the tech talent matched with #Sasakazi!
account_circle
cdo_mzumbe(@cdo_mzumbe) 's Twitter Profile Photo

Shirika la CDO tunashiriki kikamilifu katika kuhakikisha Hedhi Salama kwa wasichana walio katika rika balehe na umri wa kuzaa kwa kuwapa elimu kuhusu Afya ya Uzazi na jinsi ya kijikinga na maambukizi ya UKIMWI.

Shirika la CDO tunashiriki kikamilifu katika kuhakikisha Hedhi Salama kwa wasichana walio katika rika balehe na umri wa kuzaa kwa kuwapa elimu  kuhusu Afya ya Uzazi na jinsi ya kijikinga na maambukizi ya UKIMWI. #menstrualHygieneDay
account_circle
Dickson Henry(@DicksonHen7900) 's Twitter Profile Photo

Mnamsherehekea graduate mna pamba mipicha yake sebuleni, kumbe ni bachelor in KKK

Hana chochote anachoweza kukitumia kukabiliana na changamoto za kimaisha nje ya elimu yake zaidi ya, KUSOMA KUANDIKA KUHESABU
Eti kaka chakula tayari 🤣
Kaka amemaliza sabuni🤣

account_circle
Twende na Mama(@twendenamama) 's Twitter Profile Photo

LUDEWA WANA MIRADI 10 YA TSH BIL 25

NJOMBE

Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe inatekeleza miradi 10 yenye thamani ya shilingi bilioni 25 inayohusisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali kwenye sekta ya Elimu, Afya pamoja na miundombinu ya Barabara na Maji

LP Digital(@LPDigitalTZ) 's Twitter Profile Photo

We are in Tanga and Morogoro this week 🙌🏾

Here our Project Coordinator Ms Loy Jaffu with Students attending the ‘Elimu, Ujuzi na Ubunifu’ exhibition by COSTECH in Tanga

Delighted that we finally have the permit to establish Digital Skills Clubs across the country.

We are in Tanga and Morogoro this week 🙌🏾

Here our Project Coordinator Ms @Loyjaffu with Students attending the ‘Elimu, Ujuzi na Ubunifu’ exhibition by @costechTANZANIA in Tanga 

Delighted that we finally have the permit to establish Digital Skills Clubs across the country.
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️Karibuni wote katika Kigoda cha 15 cha Umajimui wa Kiafrika.
▪️Mwaka huu Mada zinahusu Vijana na Harakati za Umoja na Ukombozi wa pili wa Afrika.