When that TIME comes, it will come BIG ππΎ
Credits to Women and Technology Tanzania
#GirlsInICT Day in a nutshell, huyu mwanafunzi anaonyesha kwa kiasi gani jitihada zetu zitazaa matunda katika kumuelewesha na kumfundisha Binti wa Kitanzania kuhusiana na Teknolojia mpya yenye fursa nyingiii #GirlsInICT cc LP Digital Women and Technology Tanzania
Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship CafΓ© inayoendelea hivi sasa tarehe iliyoandaliwa na taasisi ya LP Digital. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako.
#Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
Did you celebrate #GirlsinICTDay yesterday?
Well, We LP Digital & Women and Technology Tanzania did in partnership with FEMA Clubs and log.ai
Check out our highlight videoππΎ
πͺπΎ to inspiring more girls in tech. #DigitalTanzania #DigitalInclusionTZ #TechWomenTZ #GirlsInICT
Kupitia kikao cha Mentorship Cafe, tunapata fursa ya kujifunza na kushirikiana na wale waliofanikiwa kabla yetu.
Asanteni sana LP Digital kwa kutuleta pamoja vijana na mentors kwa lengo la kujenga ujuzi na ufahamu zaidi.
#SkillingTanzania #MitandaoNaSisi
#TechWomenTZ
Katika darasa leo, mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTz
'Kwa kutumia Ai ningetafuta walimu ambao watasaidia katika kuelimisha jamii kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.' Mwanafunzi
#GirlsinICTDay #TechWomenTz
wengi wanaogopa kwamba AI itachukua kazi zetu na wengine wanahofia robots kuchukua kazi zetu lakini ukweli ni kwamba sisi inabidi tujifunze kufanya vyema kwa kutumia Ai na tuje na Ai based solutions #GirlsinICTDay #TechWomenTz
'Wengi wanaogopa kwamba Akili Mnembe (AI) itachukua kazi zetu na wengine wanahofia robots kuchukua kazi zetu lakini ukweli ni kwamba sisi inabidi tujifunze kufanya vyema kwa kutumia Ai na tuje na Ai based solutions' - Carol Ndosi
#GirlsinICTDay #TechWomenTz
'Ukiwa unataka kitu toka kwenye Akili Mnembe ni vyema ukaweka details zako vizuri ili upate kile unachokitaka, mfano ukitaka picha ya mwanamke mweusi inabidi uiambie kabisa picha ya mwanamke mweusi β Carol Ndosi
#GirlsInICTDay #TechWomenTz
Katika Darasa leo, Mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi #AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTz
'Kwa kutumia Ai ningetafuta walimu ambao watasaidia katika kuelimisha jamii kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.' Mwanafunzi
#GirlsinICTDay #TechWomenTz
Hardwork is never failure ... My practice test in the next wave academy #ShabeBarat #sundharpichai #nextwave #grevedu7mars #CANCELKPOPJAGIYAPH #TechWomenTZ #webdevelopment
Donβt miss the Mentorship Cafe today follow the #MentorshipCafe to get all the updates
The event is designed to foster growth and learning.
#techwomentz #SkillingTanzania #mitandaonasisi
Mapema leo The LaunchPad kuadhimisha siku ya wasichana katika TEHAMA #GirlsInICTDay ambapo tunaangazia matumizi na umuhimu wa akili mnembe (AI).
#TechWomenTz