millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

RC Makonda alivyoguswa na Malkia huyu wa Nguvu aliyechukua jukumu la kusaidia Watoto wa Kike kwenye swala la ukeketaji ambapo Makonda ametoa mchango wa gari kwa Mama huyu.

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani lakini pia inapigwa Kariakoo Derby Uwanja wa Taifa, Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amewaomba wote wa Yanga kuonesha nguvu ya mchezaji wa 12 ambaye ni shabiki.
(📹 via CLOUDS)

account_circle
Women At Web Tanzania(@WomenAtWebTZ_MC) 's Twitter Profile Photo

Siku ya leo tunasherehekea wanawake Shujaa ambao ni nguzo ya familia, wachapakazi na wasiojua kukata tamaa.

Naungana na katika kuisherehekea siku hii ya wanawake duniani.



account_circle
Women At Web Tanzania(@WomenAtWebTZ_MC) 's Twitter Profile Photo

Kauli mbiu ya Siku ya wanawake inasema 'Wanawake katika Uongozi kuelekea dunia yenye Usawa na amani.' Tunasihi kwamba akina mama, dada, na mtoto wa kike tambua kuwe wewe ni wa thamani na unaweza



account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Malkia wa Nguvu kutoka CMG wakicheza na Mkurugenzi Mkuu wa CMG Joseph Kusaga wimbo wa ‘hakuna Mungu kama wewe’ wimbo ambao Kusaga alishwahi kusema kuwa ni moja ya nyimbo ambazo anazipenda sana.

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mwimbaji na Mfanyabiashara ya chakula Shilole akizungumza huku machozi yakimtoka wakati akitoa shukrani zake baada ya kupewa Tuzo ya Malkia wa Nguvu kupitia kipengele cha Biashara ya Chakula.

account_circle
Motivation 255(@motivation_255) 's Twitter Profile Photo

Kesho ni msimu wa 7 wa tuzo za Malkia wa Nguvu zitakazofanyika kesho jioni Mlimani City. Hizi ni salamu za kuwatakia kila la heri malkia wa nguvu wote wanaosababisha kwenye kazi zao

Kesho ni msimu wa 7 wa tuzo za Malkia wa Nguvu zitakazofanyika kesho jioni Mlimani City. Hizi ni salamu za kuwatakia kila la heri malkia wa nguvu wote wanaosababisha kwenye kazi zao #MalkiaWaNguvu #7bisha
account_circle